Wanasiasa wanaangalia fursa huoni marehemu Pombe anavyokanwa na wanaccm wenzake kuanzia spika na wengine nao wanamsifia Samia sasa Nyalandu kachungulia kaona fursa kwa Samia so acha aichangamkieNi kitambo kidogo sijalonga na hawa washikaji zangu ‘makamanda’.
Lakini leo nadhani ni siku muafaka ya kulonga nao.
Sasa nyie makamanda, tokea Rais Samia ameshika hatamu za uongozi, nyie ndo mmekuwa mstari wa mbele kabisa kuimba mapambio kwake.
Mmekuwa na furaha isiyo na kifani! Furaha yenu hiyo inatokana na imani yenu ya kwamba yale mazonge mliyokuwa nayo enzi za hayati Rais Magufuli, sasa yamekwisha.
Kwamba eti yeye alikuwa mkali sana. Yeye alikuwa katili sana. Yeye alikuwa mshamba sana. Yeye alikuwa fisadi sana. Yeye alikuwa hivi na vile sana.
Sawa. Hayo ni maoni yenu tu. Na maoni yenu si lazima yawe ndo uhalisia wa hali au mambo.
Leo ngoja niwaulize swali: kama nyinyi sasa hivi ndo mmekuwa viongozi wa kuimba mapambio ya Rais Samia na CCM yake, kwa nini sasa leo mmenuna, mmevimba, na mmefura kisa tu ex-kamanda mwenzenu aitwaye Lazaro Samweli Nyalandu karudi CCM ili aweze kuunga mkono uendeleaji wa kazi za Rais Samia?
Kama nyie mnamuunga mkono Rais Samia, na yeye anamuunga mkono Rais Samia, wote nyie lenu si ni moja?
Mapovu ya nini sasa?
Ndo kusema hamjielewi kiasi hicho au?
Nimalizie kwa kuwaaga kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…..
Au niwaage kwa People’s……
Teh teh teh 🤣🤣🤣
Nyalandu alipotangaza kugombea Urais akishindana na LISSU ni CCM ndio waliomuunga mkono zaidi kuliko CDM. Leo CDM wanune sababu ya Lazaro?Ni kitambo kidogo sijalonga na hawa washikaji zangu ‘makamanda’.
Lakini leo nadhani ni siku muafaka ya kulonga nao.
Sasa nyie makamanda, tokea Rais Samia ameshika hatamu za uongozi, nyie ndo mmekuwa mstari wa mbele kabisa kuimba mapambio kwake.
Mmekuwa na furaha isiyo na kifani! Furaha yenu hiyo inatokana na imani yenu ya kwamba yale mazonge mliyokuwa nayo enzi za hayati Rais Magufuli, sasa yamekwisha.
Kwamba eti yeye alikuwa mkali sana. Yeye alikuwa katili sana. Yeye alikuwa mshamba sana. Yeye alikuwa fisadi sana. Yeye alikuwa hivi na vile sana.
Sawa. Hayo ni maoni yenu tu. Na maoni yenu si lazima yawe ndo uhalisia wa hali au mambo.
Leo ngoja niwaulize swali: kama nyinyi sasa hivi ndo mmekuwa viongozi wa kuimba mapambio ya Rais Samia na CCM yake, kwa nini sasa leo mmenuna, mmevimba, na mmefura kisa tu ex-kamanda mwenzenu aitwaye Lazaro Samweli Nyalandu karudi CCM ili aweze kuunga mkono uendeleaji wa kazi za Rais Samia?
Kama nyie mnamuunga mkono Rais Samia, na yeye anamuunga mkono Rais Samia, wote nyie lenu si ni moja?
Mapovu ya nini sasa?
Ndo kusema hamjielewi kiasi hicho au?
Nimalizie kwa kuwaaga kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…..
Au niwaage kwa People’s……
Teh teh teh 🤣🤣🤣
Mama anapiga chenga sanaIla mama anatuvuruga sana, sio Makamanda wala S. Gang wote tumevurugwa. Sijui tuungane maana naona sote tumekuwa watoto wa nje ya ndoa.
Au nasema Uongo #Nyani Ngabu
Kama Hana mvuto ilikuwaje akashinda uenyekiti Kanda ya Kati?Post zetu ziko humu humu jukwaani na hatukuwa tunamfagilia, huyo Nyalandu hakuwa na mvuto wowote ndani ya cdm. Na hakuna yoyote aliyenuna kwa Nyalandu kurudi ccm bali watu wanamwita mpigania tumbo tu. Ushahidi kuwa Nyalandu hakuwa na mvuto huko cdm, ni zile safari zake alizozunguka nchi nzima kutafuta watu wa kumuunga mkono ili kugombea urais kupitia cdm, ukiacha watu aliokuwa anazunguka nao kwenye lile basi lake chakavu, hakuwa na mvuto hata chembe.
Hali ni tete Mnyika ametoka ofisini na mizigo yake yote!
Hakuna mtu aliyenuna kuondoka kwa Nyalandu. Ujio wa Nyalandu Chadema ni tofauti na wale waliokuja Kwa upepo wa Lowasa. Huyu alikuja kupata hifadhi ya kisiasa kwani baada ya kurudi toka kumuona Lissu kule Nairobi alianza kupewa vitisho na kashfa nyingi,hivyo akaona isiwe tabu akaondoka nasi tukampokea kwa upendo wote. Kilichomuondoa ni ukatili wa Meko na siasa zake za chuki na kutojali haki za binadamu,sasa kwa vile mtesi wake hayupo tena duniani ilikuwa sahihi kwake kurudi. Na tumemuekewa. Aende salama na hatuna deni naye.Ni kitambo kidogo sijalonga na hawa washikaji zangu ‘makamanda’.
Lakini leo nadhani ni siku muafaka ya kulonga nao.
Sasa nyie makamanda, tokea Rais Samia ameshika hatamu za uongozi, nyie ndo mmekuwa mstari wa mbele kabisa kuimba mapambio kwake.
Mmekuwa na furaha isiyo na kifani! Furaha yenu hiyo inatokana na imani yenu ya kwamba yale mazonge mliyokuwa nayo enzi za hayati Rais Magufuli, sasa yamekwisha.
Kwamba eti yeye alikuwa mkali sana. Yeye alikuwa katili sana. Yeye alikuwa mshamba sana. Yeye alikuwa fisadi sana. Yeye alikuwa hivi na vile sana.
Sawa. Hayo ni maoni yenu tu. Na maoni yenu si lazima yawe ndo uhalisia wa hali au mambo.
Leo ngoja niwaulize swali: kama nyinyi sasa hivi ndo mmekuwa viongozi wa kuimba mapambio ya Rais Samia na CCM yake, kwa nini sasa leo mmenuna, mmevimba, na mmefura kisa tu ex-kamanda mwenzenu aitwaye Lazaro Samweli Nyalandu karudi CCM ili aweze kuunga mkono uendeleaji wa kazi za Rais Samia?
Kama nyie mnamuunga mkono Rais Samia, na yeye anamuunga mkono Rais Samia, wote nyie lenu si ni moja?
Mapovu ya nini sasa?
Ndo kusema hamjielewi kiasi hicho au?
Nimalizie kwa kuwaaga kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…..
Au niwaage kwa People’s……
Teh teh teh [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Makamanda wana shida za kujitakiaAyaaa! Kumbe wamenuna! sasa kama ndo hivyo wao wanataka mini sasa.
kwani sky eclat anasemaje na erythrocyte?Ni nyumbu tu atakayebaki chadema
Wembe ni uleule.
Lazima udikteta wa mwenyekiti wa milele mbowe ukomeshwe
Hata uenyekiti wa chadema kanda ya pwani ccm ndio walimteua.?Nyalandu alipotangaza kugombea Urais akishindana na LISSU ni CCM ndio waliomuunga mkono zaidi kuliko CDM. Leo CDM wanune sababu ya Lazaro?
Na Suleiman mathew nae kwa nini Kahama?Hakuna mtu aliyenuna kuondoka kwa Nyalandu. Ujio wa Nyalandu Chadema ni tofauti na wale waliokuja Kwa upepo wa Lowasa. Huyu alikuja kupata hifadhi ya kisiasa kwani baada ya kurudi toka kumuona Lissu kule Nairobi alianza kupewa vitisho na kashfa nyingi,hivyo akaona isiwe tabu akaondoka nasi tukampokea kwa upendo wote. Kilichomuondoa ni ukatili wa Meko na siasa zake za chuki na kutojali haki za binadamu,sasa kwa vile mtesi wake hayupo tena duniani ilikuwa sahihi kwake kurudi. Na tumemuekewa. Aende salama na hatuna deni naye.
Sidhani kama kuna makamanda walioshtuka saana kuona Nyalandu anarudi CCM, ni hisia zako tu. Naweza kusema ilishtua kuhama kwa Nassari, Silinde na Kafulila zaidi kuliko hii ya NyalanduLeo ngoja niwaulize swali: kama nyinyi sasa hivi ndo mmekuwa viongozi wa kuimba mapambio ya Rais Samia na CCM yake, kwa nini sasa leo mmenuna, mmevimba, na mmefura kisa tu ex-kamanda mwenzenu aitwaye Lazaro Samweli Nyalandu karudi CCM ili aweze kuunga mkono uendeleaji wa kazi za Rais Samia?
Akiwa Chadema?!!alijua anapewa ukatibu mkuu wa CCM?
siyo kweli nyimbo kwenu haziimbiki amerudi kuimba kwa mamaHakuna mtu aliyenuna kuondoka kwa Nyalandu. Ujio wa Nyalandu Chadema ni tofauti na wale waliokuja Kwa upepo wa Lowasa. Huyu alikuja kupata hifadhi ya kisiasa kwani baada ya kurudi toka kumuona Lissu kule Nairobi alianza kupewa vitisho na kashfa nyingi,hivyo akaona isiwe tabu akaondoka nasi tukampokea kwa upendo wote. Kilichomuondoa ni ukatili wa Meko na siasa zake za chuki na kutojali haki za binadamu,sasa kwa vile mtesi wake hayupo tena duniani ilikuwa sahihi kwake kurudi. Na tumemuekewa. Aende salama na hatuna deni naye.
.Tangu wafanye matambiko kule Simiu, wana CCM akili zao kama zimefungiwa kabatini.
Sasa bwashee ni nani alieumia nyalandu kusepa? Au leo umeona uandike andike tu na wewe uonekane upo? Sasa nyalanfu alikuwa ni nani hasa pale chadema kiasi kwamba wateseke? Wamefukuzwa kina Mdee na wenzie hapakuwa na mstuko sembuse Nyalandu? Hebu leteni topic nyingine maana hii imekuwa ya kitoto sanaNi kitambo kidogo sijalonga na hawa washikaji zangu ‘makamanda’.
Lakini leo nadhani ni siku muafaka ya kulonga nao.
Sasa nyie makamanda, tokea Rais Samia ameshika hatamu za uongozi, nyie ndo mmekuwa mstari wa mbele kabisa kuimba mapambio kwake.
Mmekuwa na furaha isiyo na kifani! Furaha yenu hiyo inatokana na imani yenu ya kwamba yale mazonge mliyokuwa nayo enzi za hayati Rais Magufuli, sasa yamekwisha.
Kwamba eti yeye alikuwa mkali sana. Yeye alikuwa katili sana. Yeye alikuwa mshamba sana. Yeye alikuwa fisadi sana. Yeye alikuwa hivi na vile sana.
Sawa. Hayo ni maoni yenu tu. Na maoni yenu si lazima yawe ndo uhalisia wa hali au mambo.
Leo ngoja niwaulize swali: kama nyinyi sasa hivi ndo mmekuwa viongozi wa kuimba mapambio ya Rais Samia na CCM yake, kwa nini sasa leo mmenuna, mmevimba, na mmefura kisa tu ex-kamanda mwenzenu aitwaye Lazaro Samweli Nyalandu karudi CCM ili aweze kuunga mkono uendeleaji wa kazi za Rais Samia?
Kama nyie mnamuunga mkono Rais Samia, na yeye anamuunga mkono Rais Samia, wote nyie lenu si ni moja?
Mapovu ya nini sasa?
Ndo kusema hamjielewi kiasi hicho au?
Nimalizie kwa kuwaaga kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…..
Au niwaage kwa People’s……
Teh teh teh [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dawa ya hawa jamaa nikutowaambia madhaifu yao ili wasije wakashituka, maana inaonekana bado wapo kwenye usingizi mzito sana.Makamanda wana shida za kujitakia