Makamanda Feb29 tunatoka

Makamanda Feb29 tunatoka

1769106631228.png
 
Oya mabango ya Tigo hamna siku hizi 😂
Tapeli kabisaa wewee
Natafuta Ajira
Pole mkuu kama um3dhulumiwa na kelvin kizembe zembe kias kile. Mabqngo yanaendelea na kwa sabab watu kutolipwa na bos wenu kelvin mmekuja kunidai mm. Siku mlizolipwa hamkunipa hata mia nikaona kweli kuna bogaz treaty na tikitimajiz treaty. Madogo wa jf waliodhulumiwa kizembe pale ni tikitiz
 
Mlifanya biashara gani mbona kuna mmoja anaonekana kapigwa?
 
Hawq madogo niliwqunganishaga kaz wakabandike mabango ya yas wakaenda. Siku za mwanzo wqmelipwa ikawaje sijui wqkqambiwa ukibandika bango la yas bandua la tigo ndo ulipwe wakakubali.

Kwemda kazin kazi ikawashinda jamaa wanapota kukagua bango zimeandikwa tigo zipo na bango za yas zipo. Wakaambiwa warudi wazibandue ndo walipe na ujinga ujinga mwingine wakashindwana. Mpaka leo hawajalipwa na jamaa aliyewadhulumu ni kiongozi wao aliepewa hela awalipe akidai kuwa akiwalipa yeye halipwi mana kaz hawajafanya ilivyotakiwa

Ubaya ukabwela madogo wananirudia mm nikawapiganie walipwe. Nikawambia mlitakiwamkatae toka mwanzo kuwa zoez la kubandika na kubandua ni mazoez mawili tofauti
 
Aaah! Kumbe nikajua Kalaga baho umekua mpigaji labda😂😂😂😂
 
Oya mabango ya Tigo hamna siku hizi 😂
Tapeli kabisaa wewee
Natafuta Ajira
😀😀😀 hawa tigo nawadai hela yangu. Waliwazungusha madogo juani siku nzima na mabango mkononi halafu hawajawalipa. Madogo wakaleta malalamiko yao kwangu, kwa sababu mimi ndie niliwasanua kuhusu ule mchongo nikaona nitoe hela yangu mfukoni niwalipe tu hiyo hela wanayowadai tigo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom