Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 12,151
- 33,589
😀😀😀😀 Mambo ni yale yale mzee mwenzangu. Dalali akishachukua commission yake anapoteaMlifanya biashara gani mbona kuna mmoja anaonekana kapigwa?
😀😀😀😀 Mambo ni yale yale mzee mwenzangu. Dalali akishachukua commission yake anapoteaMlifanya biashara gani mbona kuna mmoja anaonekana kapigwa?
Walete tena Mik*ndu yao. Hawa mbwa lazima walipie mauwaji waliyofanya kum*nina zao.
Mm niwapige hawa madogo wakati najua wanajitafuta. Sasa kama ningetaka kupiga hela komekshen za kaz si ningetoa kwa helaAaah! Kumbe nikajua Kalaga baho umekua mpigaji labda😂😂😂😂
Mnapeleka watu vichwa maji njaa mbele wanakubaliana kazi ambayo ni ngum kutekeza. Eti bandika bando alafu tafzta lingine bandua. Yabebe tembea nayo jion akukute nayo. Alaf napigiwa sim unguja naambiwa nimetapeli watu walioko Dar es salaam😀😀😀 hawa tigo nawadai hela yangu. Waliwazungusha madogo juani siku nzima na mabango mkononi halafu hawajawalipa. Madogo wakaleta malalamiko yao kwangu, kwa sababu mimi ndie niliwasanua kuhusu ule mchongo nikaona nitoe hela yangu mfukoni niwalipe tu hiyo hela wanayowadai tigo
Na mwez una siku 28Shalom Makamanda
Nawajuza Feb 29 tunatoka tufanye maandalizi mapema kuanzia sasa. Jeshi liko nyuma yetu na litatulinda safari hii tunaenda kuing’oa CCM
Toroli linaendakubeba mchanga?Shalom Makamanda
Nawajuza Feb 29 tunatoka tufanye maandalizi mapema kuanzia sasa. Jeshi liko nyuma yetu na litatulinda safari hii tunaenda kuing’oa CCM
Hiyo Feb 29 labda mwaka 2028, acha uhuniShalom Makamanda
Nawajuza Feb 29 tunatoka tufanye maandalizi mapema kuanzia sasa. Jeshi liko nyuma yetu na litatulinda safari hii tunaenda kuing’oa CCM
Mkitoka na mimi natoka JF.Shalom Makamanda
Nawajuza Feb 29 tunatoka tufanye maandalizi mapema kuanzia sasa. Jeshi liko nyuma yetu na litatulinda safari hii tunaenda kuing’oa CCM
Mkuu mimi niliwapa madogo taarifa ya ule mchongo baada ya kuona tangazo kwako hapa jf. Kuna madogo wawili wakaenda kufanya kazi.Mnapeleka watu vichwa maji njaa mbele wanakubaliana kazi ambayo ni ngum kutekeza. Eti bandika bando alafu tafzta lingine bandua. Yabebe tembea nayo jion akukute nayo. Alaf napigiwa sim unguja naambiwa nimetapeli watu walioko Dar es salaam
Good! Sasa mm nahusika vipi hapo? Na waliomkuda shati ndo ilibidi alope hela mana ndo bos wao. Hao madogo kazi walifanya wapi mbona wenzao wamelipwa na wngine wapo humuhumu jf? Na kaz nyingine ilifanyika mwezi wa 11 mwaka jana waliitwa wameenda kuifanya.Mkuu mimi niliwapa madogo taarifa ya ule mchongo baada ya kuona tangazo kwako hapa jf. Kuna madogo wawili wakaenda kufanya kazi.
Siku ya ijumaa ambayo ilikua sikukuu wakaambiwa wafanye kazi na hawakulipwa sababu ilikua ni sikukuu mhusika anaetoa hela hayupo ofisini kwaiyo wakaambiwa malipo yao ya ijumaa yataunganishwa na ya jumamosi.
Jumamosi wamepiga kazi, ambayo ndio ilikua siku ya mwisho. Wakaambiwa wafike ofisini jumatatu asubuhi kuchukua malipo yao ya ijumaa na jumamosi.
Jumatatu wamefika ofisini wakaambiwa kuna mabango ya zamani hawakuyatoa hivyo wapite tena kwenye route zote kutoa mabango ya zamani. Madogo wakarudi mtaani kufanya kazi waliyopewa. Wakaambiwa jumanne kesho yake asububi wanaingiziwa hela zao tigopesa
Jumanne ikapita hakuna aleingiziwa hela. Baada ya kuuliza wakaambiwa kazi bado inaendelea. Hapo ndipo madogo wakaweka mgomo mpaka walipwe kwanza malimbikizo yao. Nikaambiwa uko kwenye magroup yao whatsapp kiliwaka.
Madogo wakajiorganize kupitia group jingine la whatsapp. Wakapanga kwenda kudai malipo yao ofisini. Kesho yake walivyofika ndio wakaambiwa kuna baadhi yao entry zao kwenye system hazikua approved kwaiyo wanatakiwa kufanya marekebisho. Madogo wakataka ambao hawana rejection walipwe. Jamaa wakakataa wanataka kusiwe na rejection hata moja ndio malipo yatoke.
Madogo wakakutana wakafanyia kazi ilo suala. Kurudi tena ofisini sarakasi zikawa zinaendelea. Nasikia walishikana mashati pale kwenye ofisi za tigo kamata. Mpaka walinzi wakaingilia kati.
Kufikia hapo nikawaambia wale madogo niliowapa taarifa ya ule mchongo waachane na ilo suala na mimi nikatoa hela yangu mfukoni nikawalipa malimbikizo yao wanayodai uko tigo
Gods people aka Shalom! Nakumbuka kuwa hiyo ndio ilikuwa salaam ya Gwajima, sasa mafichoni.Shalom Makamanda
Nawajuza Feb 29 tunatoka tufanye maandalizi mapema kuanzia sasa. Jeshi liko nyuma yetu na litatulinda safari hii tunaenda kuing’oa CCM
Sina taarifa nyingi kwa undani, kwa maelezo waliyonipa walinianbia waligawanywa kwa zone. Sikumbuki vizuri wao walikua zone gani. Labda hiyo zone yao ndio hawakulipwa. Wapo madogo wengine baada ya kuona comments zangu walinifuata pm hapa hapa jf wakaniambia hawakulipwa. Nikawaambia wapeleke malalamiko yao kwa wahusika mimi sipo kwenye nafasi yoyote ya kufanya maamuzi.Good! Sasa mm nahusika vipi hapo? Na waliomkuda shati ndo ilibidi alope hela mana ndo bos wao. Hao madogo kazi walifanya wapi mbona wenzao wamelipwa na wngine wapo humuhumu jf? Na kaz nyingine ilifanyika mwezi wa 11 mwaka jana waliitwa wameenda kuifanya.