Makalio yangu yanaongezeka, msaada

Wataumbuka tu,nimemuanzishia uzi mods wameufunga!

Teh teh teh nimeuona Mkuu nilikuona siku nyingi unaligi nae vipi mlikorofishana PM?

Kuna siku alikuanzishia Uzi eti akufanyie kama SUPU YA MAWE teh teh teh

Kaza buti Mkuu mpaka waishe humu
 
Teh teh teh nimeuona Mkuu nilikuona siku nyingi unaligi nae vipi mlikorofishana PM?
Kuna siku alikuanzishia Uzi eti akufanyie kama SUPU YA MAWE teh teh teh
Alinianzishia uzi kuwa ananichukia kuliko wote humu!
 
Ukiona yanazidi niletee ninajua kuyapunguza kimazoezi ila weka picha
 
Alaaa kumbe....ndo maana wengne ukiwaendea PM ,wanakuwa.....Loading
 
Ishaunganishwa njoo umtongoze

Hiyo like nimekupa sababu nimjikuta tu, inabore kwa kweli. Hivi njemba unakaa na kuandika huo ujinga unataka kupumuliwa kisogoni? Nyau na mkia wae wee!!
 
Hiyo like nimekupa sababu nimjikuta tu, inabore kwa kweli. Hivi njemba unakaa na kuandika huo ujinga unataka kupumuliwa kisogoni? Nyau na mkia wae wee!!
Ha ha ha ni mfanya biashara anatafuta wateja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…