Makalio ya kichina!

Makalio ya kichina!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,596
Reaction score
1,236
Makalio ya kichina (ya kijani na ya rangi ya udongo)!

makalio-ya-kichina.jpg

Ha ha ha, najua umekliki ukiwa na mawazo machafu. Safari hii imekula kwako!
 
Kweli ni makalio......................
 
Vigoda hivi vingefaa sana kwenye jiji la Dar. Mheshimiwa Meya changanyikia wazo hili bunifu!
 
du! mchina kiboko. wavilete na bongo pia.
 
Back
Top Bottom