Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,381
Hahahaha! Unaishia kuchezea skrepa!Unaishia kupiga vifupa kohkohkoh[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahaha! Unaishia kuchezea skrepa!Unaishia kupiga vifupa kohkohkoh[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ila wanaume nyie ni wanafiki sana..Mimi manzi akishakuwa na chochote cha bandia mwilini mwake huwa stimu hazipandi kabisa.
Kuanzia nywele,kucha,kope na hata rangi,na akitaka aniue kabisa ajipakaze yale marangi rangi mdomoni na juu ya macho.Hapo hata kama nina kiu ya mwezi sifui dafu!.
Umeona eeehwell said kaka, nisaidie kuchunguza usijekuta anapiga friend game.
aje atujibu na haya magonjwa naogopa mie. Japo namwamini ila wanasema akili ku mkichwa.Umeona eeeh
Labda alikuwa uwanja Wa ugenini bwna
Hii kitu sio feki aisee ,mguu unaonekana kabisa umebeba hilo dhahama
WAKIPAKA MIDOMO WANAKUA KAMA ***ya nguruwe aliye kwenye MWEZIMimi manzi akishakuwa na chochote cha bandia mwilini mwake huwa stimu hazipandi kabisa.
Kuanzia nywele,kucha,kope na hata rangi,na akitaka aniue kabisa ajipakaze yale marangi rangi mdomoni na juu ya macho.Hapo hata kama nina kiu ya mwezi sifui dafu!.
Hahaha...Kaukau ya kukaanga?Nyie Wadada mnaovaa makalio ya Bandia wakati
mnajua kabisa huku nyuma una BAPA,mnapataje
shida muda wa 'mahanjumati' kuyaficha hayo
magodoro yenu na kuogopa kuombwa Doggy???
Maana aliona MTUNO Huoooo ulipokuwa
barabarani,Akiomba Doggy sasaaaa,anakutana na KAUKAU ZA
KUKAANGA! mbona. nilichokiona na nilichoshika
havifanaani kule inye huku kaukau...Kwa Hisani ya
Watu Wa marekani.
Sakayo Wanaume tunakutana na mengi sana,Jamani shida ingine hiyo tena inawapata wanaume. Kupatwa kwa makalio, yaani kama makalio yamepatwa unaenda kulala na mwanaume kweli hiyo si ni aibu, mie nilijua yakishapatwa ni kwa ajili ya kudodishia huko njiani