Makalio Ya Bandia

Makalio Ya Bandia

Mimi manzi akishakuwa na chochote cha bandia mwilini mwake huwa stimu hazipandi kabisa.
Kuanzia nywele,kucha,kope na hata rangi,na akitaka aniue kabisa ajipakaze yale marangi rangi mdomoni na juu ya macho.Hapo hata kama nina kiu ya mwezi sifui dafu!.
Siwema huwa anapaka mpk rangi za our national flag!
 
Mkuu Umeniaharibia mood..
kikao kimeisha watu na wanaagana, sasa picha yako imesababisha nighairishe zoezi la kusimama,
imenibidi niendelee kukaa tu huku nikipoteza mawazo kwa kujikumbusha movie za kivita...
[emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Sister jje's hanaga hizo tabia. Mkuu ulipiga friend game Nini ukaona?????
 
Mimi manzi akishakuwa na chochote cha bandia mwilini mwake huwa stimu hazipandi kabisa.
Kuanzia nywele,kucha,kope na hata rangi,na akitaka aniue kabisa ajipakaze yale marangi rangi mdomoni na juu ya macho.Hapo hata kama nina kiu ya mwezi sifui dafu!.

Naona unataka kuturudisha enzi za ujima za zama za kale za maweee.
 
Hivi unaanzaje kuvua chupi wakati unajua ndani umevaa godoro.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu Umeniaharibia mood..
kikao kimeisha watu na wanaagana, sasa picha yako imesababisha nighairishe zoezi la kusimama,
imenibidi niendelee kukaa tu huku nikipoteza mawazo kwa kujikumbusha movie za kivita...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom