Vedasto-Zacharia
Senior Member
- Jun 6, 2014
- 113
- 30
broilers, mayai ya kisasa chips, mkuu.. Wana vimba vimba tu.
Toleo jipya
Habari waungwana,
niende moja kwa moja kwenye point, zamani kidogo wanawake wengi walikua na matako (makalio) ya kawaida but siku za hivi karibuni kila mwanamke ana mkia kama wasemavyo vijana wa kileo.
Enzi zetu ukikutana na mwanamke kabla ya kuongea nae, kwa kumwangalia umbo unajua mchaga, mgogo, mnyakyusa au mhaya. Maajabu siku hizi kila mtu ana makalio hatari kama mkia wa kondoo mpaka Wachaga!
Hivi siri ya haya matako ni nini?
Au ndo kasi ya mtandao pendwa wa vijana. "Express yasef"
Kuongezeka kwa makalio ya wadada kunaenda sambamba na kukua kwa soko la dawa za kunenepesha na kuongeza nguvu za kiume....hii inaonyesha kuwa watu wanayatumia sana hasa nyakati za usiku...