Makalio Mengine Bwana!

Duh, utadhani NYA imetengenezwa kwa udongo wa mfinyanzi.
 
Hahahaha... Kwa kweli duniani kuna mambo. Sikieni, huyo kama mzungu vile; hawa jamaa mimi nawakubali pale unapokuta mtu hana muda na ''abnomality'' yake na pia hakuna anayemuangalia makalio yake. Zaidi unakuta jamaa anakiss nae hadharani. Lol... Lakini huyu lazima alikuwa dereva wa malori ya masafa marefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…