Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Huku mitaani siku akitokea Mwanamke ana makalio makubwa basi ni shida, watu wanachanganyikiwa na kila mtu humtaka huyo Mwanamke, binafsi mpaka leo hii sijaelewa kazi hasa ya mwanamke mwenye makalio makubwa ni ipi!
Hivyo wale wapenzi wa wanawake wenye makalio makubwa ningependa kufahamu makalio ya mwanamke yakiwa makubwa au madogo tofauti ni nini? Yaani yaanathiri nini? Na unayatumiaje wakazi ulalapo na mwanamke?