Inkoskaz
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 6,371
- 2,377
Tanesco kuondoa Monthly Service Charge ya Tshs 5,520
Hatua hiyo inaenda sambamba na maombi ya kushusha gharama za umeme kwa takribani asilimia 1.1%
Pia gharama za ulipiaji gharama ya form unapoomba umeme kuondolewa.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco Eng Feleschmi Mramba wakati akiongea katika Studio za ITV
Hata hivyo utekelezaji wake utategemeana na kasi ta EWURA katika kujibu maombi yao hayo
Service Charge ilikuwa ni mwiba kwa watumiaji wananchi wa kawaida kwani endapo mwanzoni mwa mwezi atawajibika kununua umeme kwa garama isiyo chini ya shilingi 7,000 ikiwa ni makato ya Service na Kodi
Hongera TANESCO kuliona hilo