Makali ya chama cha ubwabwa: leo wanaliamsha dude

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,880
Reaction score
828,445
Leo ndio siku ambayo kwa mujibu wa ratiba zao wataingia rasmi mitaani kujitambulisha zaidi na kumwaga sera zao
Ratiba ya ufunguzi itaanzia Mwanza.. Haijajulikana kiwanja gani
Makali yake yataonekana Leo kutokana na nyomi ya mwitikio wa wana mwanza... Na amin I watakuwa wamejiandaa vema sana
Mashaka yangu ni Kama hawatarudia makosa ya mkutano wao wa kwanza Dsm ambapo
Waliahidi kuwatambulisha wanachamq wapya 3000 toka CHADEMA.. lakini ukumbi waliokuwa wamekodishiwa haubebi watu 400
Waliwalaghai viongozi wa mikoani waje Dar eti mwenyekiti mstaafu anawaita
Waliwatapeli kwenye malipo ya malazi na chakula
Ukumbi ulijaa wahuni na vijana wadogo waliokuwa hawajaandaliwa hata namna ya kuitikia salamu ya chama
Mziki wa singeli ulitawala badala ya hotuba

Tunawatakia maandalizi mema na tunawakaribisha sana Mwanza
20250523_170102.jpg
 
Tunawatakia maandalizi mema na tunawakaribisha sana MwanzaView attachment 3346000
Chama Cha Maigizo
 
Tatizo la chadema ni kulia lia badala ya kukomaa kujijenga bila kulaumi wengine. CHADEMA kikipokea wanachama kutoka CCM au NCCR ni sawa, ila CHAUMMA kikipokea wanachama kutoka CHADEMA sio sawa, kinakua chama cha sisiemu.

Lengo la kila chama ni kushika dola na pia kuwa na wanachama wengi bila kujali wametoka wapi. Pambaneni.
 
Nguvu ya ubwabwa tutaishuhudia leo
 
Umma umeshakataa maigizo.

No reform, no election.
 
Tatizo la chadema ni kulia lia badala ya kukomaa kujijenga bila kulaumi wengine. CHADEMA kikipokea wanachama kutoka CCM au NCCR ni sawa, ila CHAUMMA kikipokea wanachama kutoka CHADEMA sio sawa, kinakua chama cha sisiemu.

Lengo la kila chama ni kushika dola na pia kuwa na wanachama wengi bila kujali wametoka wapi. Pambaneni.
Umeona wapi Chadema wanalia wewe? Chadema iko bize kueneza elimu ya No Reforms No Election na leo tunaanza Kanda ya Kaskazini hatuna muda mchafu kuongelea habari za wengine sisi tunaongea na wananchi na uzuri wananchi wanatuelewa na kutuunga mkono kwa maelfu.
 
Labda wagawe ubwaubwa ndio wenye njaa wataenda kuwasikiliza

Wasaliti kama hawa ni wa kuwapopoa na mawe wakiwa jukwaani
Sasa hapo ndipo shida inapoanzia kibaya shida itakupata mrusha jiwe uanze kulia lia, let every be free!, haupendi kwenda usitie mguu.
 
Tatizo la chadema ni kulia lia badala ya kukomaa kujijenga bila kulaumi wengine. CHADEMA kikipokea wanachama kutoka CCM au NCCR ni sawa, ila CHAUMMA kikipokea wanachama kutoka CHADEMA sio sawa, kinakua chama cha sisiemu.

Lengo la kila chama ni kushika dola na pia kuwa na wanachama wengi bila kujali wametoka wapi. Pambaneni.
20250523_170102.jpg
 
Tatizo la chadema ni kulia lia badala ya kukomaa kujijenga bila kulaumi wengine. CHADEMA kikipokea wanachama kutoka CCM au NCCR ni sawa, ila CHAUMMA kikipokea wanachama kutoka CHADEMA sio sawa, kinakua chama cha sisiemu.

Lengo la kila chama ni kushika dola na pia kuwa na wanachama wengi bila kujali wametoka wapi. Pambaneni.
Umevuta ugoro nini mbona umeandika kama umelewa ugoro
 
Leo ndio siku ambayo kwa mujibu wa ratiba zao wataingia rasmi mitaani kujitambulisha zaidi na kumwaga sera zao
Ratiba ya ufunguzi itaanzia Mwanza.. Haijajulikana kiwanja gani
Makali yake yataonekana Leo kutokana na nyomi ya mwitikio wa wana mwanza... Na amin I watakuwa wamejiandaa vema sana
Mashaka yangu ni Kama hawatarudia makosa ya mkutano wao wa kwanza Dsm ambapo
Waliahidi kuwatambulisha wanachamq wapya 3000 toka CHADEMA.. lakini ukumbi waliokuwa wamekodishiwa haubebi watu 400
Waliwalaghai viongozi wa mikoani waje Dar eti mwenyekiti mstaafu anawaita
Waliwatapeli kwenye malipo ya malazi na chakula
Ukumbi ulijaa wahuni na vijana wadogo waliokuwa hawajaandaliwa hata namna ya kuitikia salamu ya chama
Mziki wa singeli ulitawala badala ya hotuba

Tunawatakia maandalizi mema na tunawakaribisha sana MwanzaView attachment 3346000
Dude la kuagiza mchele wa kyela?🤣
 
Back
Top Bottom