Makala za Mohamed Said Katika Mwananchi: Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika

Who are radical muslim Mr Said ?I think dar esalaaam was supposed to be in the list if the author was to be trusted on his view and analysis abut areas with radicam muslim.

Otherwise it just show how Mr Saidi just using some statistics without detailed analysis to promote the same radicalism agenda.

I gave a presentattion at a university (outside Tanzania) and I came up with facts and figures similar to those. The response from the audience was one of shock.

They seem not to believe what I had presented to them.

They said if what I say is true Tanzania to use an analogy of one professor "is a silent ticking bomb. But are you telling us the truth?"

My response was that the onus should not be upon me to prove what I have presented it should upon you to prove me wrong.

There was applause from the audience and at the end of my lecture I received a standing ovation.

Now I say to you.

Please prove me wrong with facts and figures.

Mohamed
 
I gave a presentattion at a university (outside Tanzania) and I came up with facts and figures similar to those. The response from the audience was one of shock.

I ve seen this defensive response of yours many times . Sure it show how you dont have sound reasons . Presentation is just presentation , Being it outside or wthin Tanzania . Presentaion can be biased, Presenation can contain lies even at the univeristy. A presentantion can be just a light weight. It lacks depth analysisi of data. You are just using some data to promote your agenda.

They seem not to believe what I had presented to them.

U can be neither be belived nor trusted because your data lack detailed analysis othwewise u Should just state its a popaganda presentation..or you were presenting it before seconday school students. I just asked you why u mentioned kigoma, mtwara and not Dar es- slaaam. what is the difference between youth muslim in kigoma or mtwara and those non muslim youth in Rukwa and shinyanga and kagera....
They said if what I say is true Tanzania to use an analogy of one professor "is a silent ticking bomb. But are you telling us the truth?"
So if "they" said . What does it mean to you? Do those from oustide Tanzania preresent the views of tanzanians even the muslim youth of Kigoma whom you misrepresented. Am sure not . Inaokeana wewe hao wa nje wanaweza kukutumia na kukupaka mafuta kwa mgongo wa chupa bila kujua.

My response was that the onus should not be upon me to prove what I have presented it should upon you to prove me wrong
.

And how can they prove you are wrong? by just reading and hearing the your presentation. We Tanzanian are the one to prove you wrong. or right

There was applause from the audience and at the end of my lecture I received a standing ovation.

I can see u a man of staus Quo and if it was outside Tanzania can u upload here a youtube video of your presetation? Was it really a univeristy wich u made presentation or just a veta like collge with 5 students . And if u re used to presentations dont think every applause means all people appaluse your point of view. Some people may just applause bcs u re finished with the presentation
Now I say to you.

Please prove me wrong with facts and figures.

I asked you a question. Insteadof answering you just mentionued that u went outside Tanzania and u were applaused. by you presentation

Am asking and exending my questions once aganin. In you list of region upcropping radiical Muslims

  • in your list why have'nt mentioned Dar Es salaam ?
  • If its true how is is that radical islam is associated to low level develpment?
  • What problem should we expect from low level develoepd region with large number of non muslim eg rukwa, shinyanga
  • What can we learn form radicalism eg in egypt or even even in UK, USA? is it assocated in any means with development?

Suala la kusheherekea uhuru awapelekee watu wenye kufaidika na nchi!! Sisi bado hatujajitawala!!! Utasemaje tunajitawala wakati;
  • kundi moja la majangiri limejipa license to rule milele
  • hata tukijitahidi tutumie sanduku la kura, zinachakachuliwa
  • ukisema basi ujitahidi tu basi utafute maisha yako, hujafanya kitu kwani jamii iliyokuzunguka bado iko mikononi mwa majangiri,
Watu wanaopaswa kufurahia ni kama juzi meeting ya DICOTA, watu wakala wakaserebuka, wenye kulobby wakafanikiwa, wenye kutengeneza mazingira ya kutua kwenye maziwa na asali wakafanikiwa, ali muradi kila mtu alifanikiwa kivyake. Uzuri wao wakitoka hapo wanendelea na maisha yenye amani. Umeme bwerere, maji ndo duh, energy kama kawaida, wakifanya kazi kwa bidii matunda wanayaona.......to name few!!!

Wewe jiangalie hapa, usipoiba huendi popote!!! Na wakikukamata wewe ndo unakuwa mfano wao kuonyesha justice system ilivyokuwa imara...
Uhuru washeherekee wenyewe!! Toka miaka hiyo iliyopita sijawahi kusheherekea iweje leo!!! Ukisema lol, ngoja basi hata nijikumbushe historia yetu...unakuta imepindishwaaaa weeeeee ku-suite matakwa yao, ya nini sasa si basi niendelee tu na utaratibu wa kusubiri kesho, inayokuwaga bora ya jana........
kwa hiyo na wewe ni Mwizi? pole kumbe mkuki kwa nguruwe, lo!
 
Now I say to you.

Please prove me wrong with facts and figures.

Mohamed
Do you think MPs in Tanzania are democratically elected?
If yes, can you give us the ratio of muslims in the cabinet(non electoral positions) and compare that to the ratio of Muslim MPs(Elected) in all four presidencies. Just to start with.
I'd love to go one on one on this forum with you only. Statistically, no phrases from the good books that I do respect wholeheartedly.
 
Do you think MPs in Tanzania are democratically elected?If yes, can you give us the ratio of muslims in the cabinet(non electoral positions) and compare that to the ratio of Muslim MPs(Elected) in all four presidencies. Just to start with.I'd love to go one on one on this forum with you only. Statistically, no phrases from the good books that I do respect wholeheartedly.
Utaniwia radhi nakujibu kwa Kiswahili maana ndiyo lugha ninayoimudu.Kazi hiyo sasa uifanye wewe ndiyo itakuwa na maana zaidi.Mohamed
 
Niwie radhi naandika kwa Kiswahili maana ndiyo lugha ninayoimudu vyema.

Kwa hakika ili uelewe yote hayo uloniuliza ni vizuri ungepata kusoma ule mswada
"Christian Hegemony and the Rise of Muslim Militancy in Tanznaia Mainland" ambao
kwa bahati mbya uliwekwa ka muda mchache sana hapa ukumbini kisha ukaondolewa.

Katika mswada ule nimeeleza matatizo ya nchi yetu na viongozi wake linapokuja swala
la Uislam na hayo unayoniuliza majibu yake yamo mle.

Nikasome kiingereza halafu tujibishane kiswahili....
Mkuu kabla hata ya kuanza mdahalo, naona niusitishe tu, hili ni moja ya matatizo makubwa sana ya Elimu yetu i.e Overindiginazation which hinders exposure to information and consequently innovation.
 
Kwani kuna tatizo gani tukiandikiana kwa Kiswahili?

Basi hilo ndugu yangu ndiyo iwe sababu ya sie kuacha
kuwasiliana?

Si kitu lakini kama umeamua tuliache swala hili basi hapana
neno.

Ila nakujulisha tu kwa hakika Kiingereza nakijua na wewe naamini
hilo unalijua lakini uzoefu wangu humu ukumbini umenifunza ndiyo
maana kurahisisha mambo hupenda kuandika Kiswahili.

Mohamed
 
tumeanza safari ya ukombozi wa pili wa Tanganyika huru kutoka kwenye mikono ya ccm
 
Kwani kuna tatizo gani tukiandikiana kwa Kiswahili?

Basi hilo ndugu yangu ndiyo iwe sababu ya sie kuacha
kuwasiliana?

Si kitu lakini kama umeamua tuliache swala hili basi hapana
neno.

Ila nakujulisha tu kwa hakika Kiingereza nakijua na wewe naamini
hilo unalijua lakini uzoefu wangu humu ukumbini umenifunza ndiyo
maana kurahisisha mambo hupenda kuandika Kiswahili.

Mohamed

Duh...yaani dakika moja unasema mjadiliane kwa Kiswahili manake ndo Lugha unayoimudu(sababu amekuandikia kwa kiingereza) , mara dakika ingine unasema Kiingereza unakijua ! Kwanini kigeugeu ! Kwanini hukutoa sababu hii toka mwanzo? Naamini hata aliyeuliza swali angeelewa na mjadala ungeendelea . Kwa kufanya hivi umeonyesha wewe ni mpenda "LIGI" na una biased thinking !
 
Miaka 50 ya uhuru wa tanzania ipi? nijuavyo mie nchi inayoitwa Tanzania haijawahi kutawaliwa na wakoloni! kama ni uhuru wa tanganyika + znz basi miaka 50 haijafika ni 47. Ebu acheni kupotosha historia yetu tuseme ukweli miaka 50 ya uhuru ni kwa taifa la tanganyika ambalo limezikwa lakini eti wanahazimisha miaka 50 wa taifa hilo. yanii uongo, uongo, uongo, uongo, uongo kwa kila kitu! hivi tusipoufuata ukweli na kuukiri tutaendelea kubakai katika laana hii mpaka kiama. daaah!!!
 
Ahsante kwa mchango wako.

Katika gazeti la Mwananchi la leo kuna makala zangu mbili
na kila moja nimeandika kwa staili yake.

Moja nimezungumzia Tanganyika chini ya Udhamini wa Umoja
wa Mataifa.

Makala ya pili nimejieleza mimi mwenyewe kama mtoto mdogo
wakati wa kupigani uhuru.

Nimeanza kwa kuhadithia nyumba kwa nyumba mitaa ya Gerezani
nilikozaliwa na kukulia nikieleza historia za wazee wangu walivyochangia
katika kupigania uhuru.

Sijui hili la Uislam liko sehemu gani. Tafadhali nifahamishe wapi umeliona.
Nimepitia upya makala hizo sikuona popote neno Uislam.

Mohamed
Asante Ndugu Mohamed Said kwa challenge yako.
Nimesoma makala zako na zina mvuto mzuri tu.
Tatizo ambalo naliona si la kwako bali mazingira ambayo wewe mwenyewe umekulia.
Kama mapambano dhidi ya ukoloni ulikuweko basi umeandika perspective ya yale uliyoyaona na kuyapa kipaumbele.
Sisi wengine tulikuwa kwingine na tuliona mengine ambayo si tofauti sana na yaliyokuwa yakuiendelea jijini Dar es salaam.
Katika paragraph moja ya gazeti la Mwananchi (28 Septemba 2011) , makala za Miaka 50 ya uhuru(makala maalum) kifungu cha nne-Uwakilishi wa makundi mwishoni mwa para ya pili, nanukuu:
"Sheikh Hassan bin Muungujaalikuwa ndiye Mufti wa Tanganyika na aliwakilisha Waislam ambao hasa ndiwo waliokuwa wakiongoza mapambano dhidi ya serikali."
Mwisho wa kunukuu.
Sasa ndugu M Said sijui hayo ni mawazo yako au ni an established fact.
Sipuuzii juhudi za wazee wetu hawa lakini you are painting a rosy pictured with an over emphasised efforts on the part of your kin in the struggle for uhuru.
Mimi nimesoma makala zako na hii ndio tatizo kubwa, ni cizuri ukaelezea part waliyofanya ndugu zetu hawa lakini usitie chumvi mno.
 
Mohamed heshima mkuu,

napendezwa na makala zako, huwa zinaeleza upande wa pili wa harakati zetu ambao wengine ama hawataki/hawawezi/wanaogopa kueleza,

Tafadhali usikate tamaa, kama uyasemayo sio ya kweli tungependa wanaojua wakanushe na kueleza wanachojua,

kwa njia hiyo tutapata ukweli usio na shaka wa nini kilifanyika wakati wa kutafutan uhuri wetu na nani alifanya nini
 
Nitashukuru endapo utanifafanulia zaidi ili nipate kukupa jibu ukipenda.

Ila nitakufungulia kwa ufupi ili uongozeke.

Mimi ni Mmanyema wa Dar es Salaam sina uhusiano wowote na Unguja.

Mohamed

Sheikh Mohamed Makala zako ni nzuri na zinaeleza vizuri sana historia ambayo haikutajwa na wanazuoni wengi sana waliioandika historia ya nchi hii. Lakini ni ukweli usiopingika kuwa duniani hakuna mashujaa bali mara zote kuna shujaa. Hitler siyo kwamba maelfu ya watu waliouawa wakati wa utawala wake wote waliuliwa na yeye bali yeye alikuwa ndiyo nembo ya mauaji hayo.

Waislamu walichangia sana kuleta uhuru wa nchi hii, lakini siyo kweli kwamba ni wao peke yao ndiyo walikuwa ni vinara wa kupigania uhuru. kuna maeneo mengine kwenye nchi hii (Tanganyika?) ambayo wakristo walikuwa kama wako peke yao lakini nako huko walimpinga mkoloni kama hao wazee wako wa Gerezani.

Uwezi kuipinga serikali kutoka pembezoni bali ndani ya mji mkuu. kwa Mfano Walibya wa Benghazi wangebakia Benghazi ama wangeitwa waasi au wangekuwa wameigawa nchi. ni Tripoli ndipo ilipo Lbya!! Kwa mantiki hii Mwalimu alijua hawezi kuipinga serikali ya mkoloni kutokea kwao Butiama bali ni kutokea Dar es salaam ambako kihistoria ndiko yalikokuwa makazi ya waislam wengi. Sijui kama Sheikh wangu ulitaka mwalimu aje na ndugu zake kutoka Mwitongo kupigania uhuru?

Leo hii 100% (niko tayari kusahihishwa) ya wajumbe wa baraza la wawakilishi Zanzibar ni Waislamu ingawa hayo Mapinduzi yenyewe yalisimamiwa na Mkristo (John Okelo) na kuimarishwa na mkristo (Julius Nyerere). Sasa leo atokee mtu atwambie eti wakristo wa wazinzibar walishiriki sana kwenye Mapinduzi ya 1964 lakini hawana nafasi kwenye serikali ya SMZ tumweleweje? Hivi Zanzibar nzima hakuna mkristo mwenye sifa ya kuwa hata Mkuu wa Mkoa au waziri.

Unajua Zanzibar wakristo wakijenga Makanisa yao yanabomolewa bila ya serikali ya SMZ kuchukua hatua yoyote? Mwalimu alikaa Ikulu kwa miaka 23 hadi anaondoka aliwahi kubomoa msikiti wa wapi? Najua maoni yako kuhusu AMNUT na pia kuhusu Sheikh Farisy wa Bwagamoyo, lakini kwa maoni yangu maandishi yako yana lengo la watu watoane Roho.

Hao wazee wako wa Gerezani walishiriki kumtoa mkoloni kama Wazalendo Watanganyika waliochoshwa na madhila ya Mkoloni Mwingereza au kama Waislamu waliouondoa utawala wa Kikristo ili waislamu wajitawale?

Huu ni Utani tuu: Wewe na Sheikh Ponda mna undugu au nyote mna ajenda moja??
 
Ni vizuri kama kuna historia yoyote iliyojificha ikaelezwa kwa malengo ya kuepuka makosa kama yapo yasirudiwe tena. Hatuwezi kupinga ukweli kua kumbagua mtu kwa misingi yoyote ikiwa ya kidini rangi au kijinsia ni kitu kibaya sana.

Kwa wale wanaoamini dini yoyote watakubaliana na mimi kua sote tulitokana na Adam na Eve kama sikosei. Tulichotakiwa ni kuishi ktk mazingira ya amani. Kwa wale wanofuatilia habari za kimataifa inadhaniwa kua huo ndio wimbo wa kila kiongozi, kuna maneno kama dignity, discrimination, justice, peace and harmony ni maneno yanakaririwa kila mara. Tatizo kubwa labda cha kujiuliza ni wale wanaoyatangaza maneno hayo wanakusudia nini, ispokua ukiyasikia ni maneno yanapendeza sana lakin kweli tuko serious kuyatekeleza?

Kama tuko serious haidhaniwi kua problem kama ya Palestine ni kubwa hivyoo kiasi cha kushindikana kwa miaka 20. Ubaguzi wowote ni mbaya.
 
Mohamed heshima mkuu,

napendezwa na makala zako, huwa zinaeleza upande wa pili wa harakati zetu ambao wengine ama hawataki/hawawezi/wanaogopa kueleza,

Tafadhali usikate tamaa, kama uyasemayo sio ya kweli tungependa wanaojua wakanushe na kueleza wanachojua,

kwa njia hiyo tutapata ukweli usio na shaka wa nini kilifanyika wakati wa kutafutan uhuri wetu na nani alifanya nini

Kunta hatupingi anachosema Mohamed isipokuwa tatizo ni kuwa yeye anaongea kile alichokishuhudia wakati huo pale gerezani halafu anakifanya hicho ndio kilichokuwa kikitokea nchi nzima. Anavyoongea ni mtu amefumba macho asione mchango wa watu wengine isipokuwa mchango wa aliokuwa akiuona kutoka kwa ndugu zake na watu wa imani yake. Anazidi kuonyesha alivyo mbinafsi kwa kutoeleza tafiti zinazoonyesha kuwa; kuwa nyuma kwa maeneo kama mtwara na singida kunatokana na ukandamizaji wa serikali. Haonyeshi pia kuwa mikoa kama kilimanjaro, Mbeya na Dar inapendelewa na serikali kwa sababu ni ya kikristo.Anashindwa kusema ni kwanini Dar imeendelea kuliko rukwa kama serikali inapendelea wakristu. Hasemi ni kwanini hata kabla ya uhuru kulikuwa na shule nyingi zaidi za misheni kuliko za kiislam na kama alitarajia nini kama wengine wanahamasika kwenda darasani wakati wengine wanahamasika kwenda madrasa (elimu ya dini 100%). Mohamed ameonesha udhaifu kwa kushindwa kutambua kuwa uislam una nguvu ktk njia kuu za biashara ya utumwa maeneo ambayo yanamtazamo chanya kuelekea tamaduni za kiarabu kutokana na imani waliyoadopt na kuwa na mtazamo hasi kwa tamaduni za magharibi ambazo ndio zilizoambatana na elimu tunayoisoma sasa. Hilo lipo mpaka sasa kuna waislam wana negativity na elimu inayotolewa sasa duniani wakiamini ni haram mfano mzuri ni mtazamo walionao Boko haram huko Nigeria. Kitu kimoja ambacho Mohamed angewasaidia sana waislam ni kama angejikita ktk kuwahamasisha waislam wasome sana wapate elimu itakayowasaidia kukabiliana na utandawazi vinginevyo anataka kuwafanya waislam wasahau majukumu yao waingie kudai haki ambayo haipo. Na kwakuwa penye uongo ukweli hujitenga basi anacho kitarajia Mohamed hakitafikiwa maana waislam watajilipua sana lakini ukweli utabaki kuwa ili wapate maisha bora lazima wasome, wafanye kazi kwa bidii halafu waachane na propaganda za watu wachache wanaotaka kuutumia uislam kutatua matatizo yao ya kiuchumi.
 
Ndugu yangu umesema mengil ila mimi nitakujibu moja tu.

Hoja kuwa Waislam hatutaki kusoma imepitwa na wakati.

Katika kitabu chnagu "Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes" sehemu ya mwisho nimeandika kuhusu njama dhidi ya Uislam. Hii ni kazi nzito sana si ya mchezo na hadi leo wahusika wamekaa kimya hawajathubutu kutoa jibu. Nimeeleza kwa kirefu njama za Nyerere na Kanisa Katolilki kuhakikisha kuwa Waislam hawapati elimu. Hiki kitabu kinapatika Tanzania Publishing House (Samora Avenue).

Katika ukumbi huu majuma machache yaliyopita niliweka mswada wangu 'Christian Hegemony and the Rise of Muslim Militancy in Tanzania Mainland" nimeeleza matatizo hayo hayo na nafasi ya Christian Lobby katika kuwahujumu Waislam na vipi Prof. Malima alitaabishwa kwa kufichua njama hizo Wizara ya Elimu. Taasisi ya Kijerumani Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin ndiyo ilinifadhili kukamilisha kazi hii na nikafanya presentation hapo Berlin.

Wakubwa katika ukumbi huu hawakuweza kustahamili niliyosema mswada ule ukaondolewa baada ya saa chache. Wazungu walinisikiliza na kuniuliza maswali.

Walitishika na niliyowaeleza hawakujua kuwa Tanzania kuna ubaguzi.

Hivi ndivyo mambo yetu yanavyokwenda. Prof. Hamza Njozi katoa ushahidi katika kitabu chake "Mwembechai Killings" vipi Kanisa Katoliki linavyohujumu Waislam serikali imekipiga marufuku ukikutwa nacho una kesi ya jinai.

Serikali kamwe haitaki kujadili tatizo hili. Kwao ni kitu nyeti.

Sasa hii ndiyo hali ya nchi yetu.

Sisi hatutoacha kusema ukweli iko siku watakuja watu watasema Waislam walipata kutuonya kuhusu dhulma hizi hatukuwawasikiliza.

Ndiyo maana sisi hatujifichi nyuma ya majina ya bandia tunaweka majina yetu ili serikali itujue na ikitaka kujadiliana nasi kuondoa fitna katika jamii isiwe shida.

Mohamed
 
Sheikh Mohamed Makala zako ni nzuri na zinaeleza vizuri sana historia ambayo haikutajwa na wanazuoni wengi sana waliioandika historia ya nchi hii. Lakini ni ukweli usiopingika kuwa duniani hakuna mashujaa bali mara zote kuna shujaa. Hitler siyo kwamba maelfu ya watu waliouawa wakati wa utawala wake wote waliuliwa na yeye bali yeye alikuwa ndiyo nembo ya mauaji hayo.

Waislamu walichangia sana kuleta uhuru wa nchi hii, lakini siyo kweli kwamba ni wao peke yao ndiyo walikuwa ni vinara wa kupigania uhuru. kuna maeneo mengine kwenye nchi hii (Tanganyika?) ambayo wakristo walikuwa kama wako peke yao lakini nako huko walimpinga mkoloni kama hao wazee wako wa Gerezani.

Uwezi kuipinga serikali kutoka pembezoni bali ndani ya mji mkuu. kwa Mfano Walibya wa Benghazi wangebakia Benghazi ama wangeitwa waasi au wangekuwa wameigawa nchi. ni Tripoli ndipo ilipo Lbya!! Kwa mantiki hii Mwalimu alijua hawezi kuipinga serikali ya mkoloni kutokea kwao Butiama bali ni kutokea Dar es salaam ambako kihistoria ndiko yalikokuwa makazi ya waislam wengi. Sijui kama Sheikh wangu ulitaka mwalimu aje na ndugu zake kutoka Mwitongo kupigania uhuru?

Leo hii 100% (niko tayari kusahihishwa) ya wajumbe wa baraza la wawakilishi Zanzibar ni Waislamu ingawa hayo Mapinduzi yenyewe yalisimamiwa na Mkristo (John Okelo) na kuimarishwa na mkristo (Julius Nyerere). Sasa leo atokee mtu atwambie eti wakristo wa wazinzibar walishiriki sana kwenye Mapinduzi ya 1964 lakini hawana nafasi kwenye serikali ya SMZ tumweleweje? Hivi Zanzibar nzima hakuna mkristo mwenye sifa ya kuwa hata Mkuu wa Mkoa au waziri.

Unajua Zanzibar wakristo wakijenga Makanisa yao yanabomolewa bila ya serikali ya SMZ kuchukua hatua yoyote? Mwalimu alikaa Ikulu kwa miaka 23 hadi anaondoka aliwahi kubomoa msikiti wa wapi? Najua maoni yako kuhusu AMNUT na pia kuhusu Sheikh Farisy wa Bwagamoyo, lakini kwa maoni yangu maandishi yako yana lengo la watu watoane Roho.

Hao wazee wako wa Gerezani walishiriki kumtoa mkoloni kama Wazalendo Watanganyika waliochoshwa na madhila ya Mkoloni Mwingereza au kama Waislamu waliouondoa utawala wa Kikristo ili waislamu wajitawale?

Huu ni Utani tuu: Wewe na Sheikh Ponda mna undugu au nyote mna ajenda moja??

Utani ni dalili ya mapenzi (nyinyi wenzetu mnapenda kutumia neno "upendo.") Kwanza Sheikh Issa Ponda ni ndugu yangu katika imani kisha ni Mmanyema mwenzangu.

Mohamed
 
Back
Top Bottom