Makala toka MTWARA: GESI na MAANDAMANO; Nani haeleweki?

Sikonge, Zitto, Jasusi, Mchambuzi, Ritz, Kichuguu, Dr.W.Slaa, Nguruvi3, THE BIG SHOW,wana JF,

..hivi kuna sehemu yoyote nchi hii ambako wameridhika na utawala wa CCM??

..hivi kuna sehemu yoyote ile ya Tanzania ambapo wanaweza kusema, "this is how our country should be 52 yrs after independence"??

..mimi naona kila pembe ya Tanzania wanatamani kujitenga, sema hawana courage tu ya kusema hivyo.

Hili ni suala ambalo nimekuwa nalijadili humu kwa muda sasa kwamba we do have a problematic state; Tunakimbilia kushinda chaguzi ili kuunda serikali, and then what? Do we aim to solve matatizo facing us as a state? Kwanza, do we really have our own state? We don't, we only have a government that we inherited from an external agent (mkoloni) and it runs a state that was formed by this external agent to serve Europe, not the indigenous communities; Mwalimu alijaribu kugeuza hili lakini hakufanikiwa, na after 1985, tumekuwa na watawala ambao practically in kama resident reps wa mfumo wa kiberari ambao upo dictated na Washington (World Bank and IMF), kukidhi matakwa yale yale ya kikoloni lakini this time kupitia Conditional AID inayotutafuna kupitia Trade and FDI; na sioni mkakati wa Chadema kugeuza hili, most likely nao pia watakuwa the new resident rep in office wakishinda uchaguzi ngazi ya rais;

How does a state emerge? A State emerges in response to the needs that groups in society have – these may include problems related to security, welfare or resolving conflicting demands juu ya scarce resources; Since mid 1980s, Security wise watanzania wanaishi maisha ya hatari sana, and sometimes they are more threatened na serikali yao wenyewe kuliko hata majambazi; Social welfare ndio usiseme, umaskini imekuwa ni sehemu ya maisha vizazi hadi vizazi kwa watanzania, hasa huko vijijini; Na katika suala la scare resources - katika jamii yoyote ile, ALWAYS - Wants are unlimited, but resources to meet such wants are limited; this is a common economic problem in any society i.e. problem of scarcity; Lakini badala ya serikali yetu kuwa karibu na wananchi to resolve this common economic problem of scarcity, Siasa is being made supreme to everything – to economics, rationality, lakini mbaya zaidi, even to common sense, na haki za wananchi;

Aidha kupitia M4C au persistent arrogant ya chama changu cha CCM, Watanzania wanazidi kufunguka akili kwamba - YES we are fully aware that we do have unlimited wants against limited resources, but hizi limited resources mbona zinakuwa limited only kwetu sisi huku tukizidi kushuhudia wengine wakifaidika (mfano suala la akaunti za uswisi)? Suala la gesi mtwara kwa mfano limekuwa politicized sana huku umma ukidakia kwamba wanachofanya wananchi wa Mtwara sio sahihi; Ukienda zungumza na maafisa wa balozi zote kutoka nchi zilizoendelea, huko kwao – maeneo (communities) ambako vitu kama Gold, Goal, Gas n.k vinachimbwa, huwa kuna umakini wa hali ya juu kuhakikisha kwamba kunakuwa na immediate benefits kwenye community husika kabla ya kuangalia benefits za such resources kitaifa; Kwetu sisi, inaonyesha kwamba neoliberal economic principles zimetulewesha sana and we have hardly been sober enough to question the ‘trickle down benefits' theory kwamba it is prudent that we first deal with the macroeconomic fundamentals (economic growth, inflation and so forth) kwa argument kwamba kwa kufanya hivyo, benefits zitakuja to trickle down to the micro (households zetu, hasa vijijini); Lakini miaka nenda, miaka rudi, tumeona jinsi gani the macroeconomic environment has been sound with impressive economic growth inayochangiwa sana na uzalishaji wa madini mengi sana katika maeneo mengi ya nchi, na wananchi have been waiting for so long for the said benefit to trickle down to their households, per neoliberal economic argument;

Sasa tabia ya Viongozi to defy economics and glorify politics imekutana in collision course with reality, na sasa CCM tunaona matokeo yetu ya kudharau GRAVITY; Defying economics and glorifying politics has severe consequences – kwani kwa kawaida, politics is more about controlling people, not land or territory, na tumekuwa chronic katika kupima our success in terms of popular reach (especially maeneo ya mijini ambako kuna umuhimu wa kukidhi mahitaji yao ili wasi revolt against the system), we don't measure our success in terms of territorial reach; Kinachoendelea hivi sasa ni kwamba Chadema aidha kwa kujua au kutojua, they have been keen to fill this void/gap kupitia M4C wakati sisi CCM tunaendelea to defy economics, glorify politics, na kuchezea gravity kama vile ni mwanasesere;
 
umeongea vyema sana mkuu mchambuzi,labda mimi niongezee kidogo,waasisi wa hili seke seke ni sisi wenyewe wananchi wa kusini ila serikali ilikuja kulichukulia hili suala juu juu na kwa dharau hasa kimajibu yao na ufafanuzi wao kuhusu uhalisia wa suala lenyewe,kama tunavojua wananchi wengi wamekata tamaa na ugumu wa maisha,pia mtu ambae amekosa elimu ya kutosha ni rahisi kwake kupotoshwa bila ya yeye kufaham chochote,hivi karibuni tumeona matamko ya baadhi ya wanasiasa wenye ushawishi kwenye jamii ya watanzania juu ya suala hili kama profesa ibrahim lipumba,dr slaa,julius mtatiro,zitto kabwe na baadhi ya wanahabari wenye weledi mkubwa kama ndugu jenerali wa channel katika kipind chake kilichopita wiki hii cha jenerali on monday,wote hao wamekuwa wakiwaunga mkono wana kusini kwa hoja zenye mashiko,na ni haki yao kutoa maoni kikatiba pasi na kujali kama wao ni wana siasa ama la,serikali irudi nyuma na kliangalia upya suala hilo.
 
Sikonge, Zitto, Jasusi, Mchambuzi, Ritz, Kichuguu, Dr.W.Slaa, Nguruvi3, THE BIG SHOW,wana JF,

..hivi kuna sehemu yoyote nchi hii ambako wameridhika na utawala wa CCM??

..hivi kuna sehemu yoyote ile ya Tanzania ambapo wanaweza kusema, "this is how our country should be 52 yrs after independence"??

..mimi naona kila pembe ya Tanzania wanatamani kujitenga, sema hawana courage tu ya kusema hivyo.
Mimi nadhani kila jambo lina sababu linapotokea, zinaweza kuwa nzuri au mbaya.
Mkuu kila mahali wamechoka lakini wengine hawaamini.

Honestly, mikoa kama Mtwara ndiko mageuzi yamekuwa kikwazo kama ilivyo nyumbani TA na Dar achilia mbali Pwani.
Kama wataamka nadhani ''total overhaul'' inaweza kutokea.
 
Sikonge, Zitto, Jasusi, Mchambuzi, Ritz, Kichuguu, Dr.W.Slaa, Nguruvi3, THE BIG SHOW,wana JF,

..hivi kuna sehemu yoyote nchi hii ambako wameridhika na utawala wa CCM??

..hivi kuna sehemu yoyote ile ya Tanzania ambapo wanaweza kusema, "this is how our country should be 52 yrs after independence"??

..mimi naona kila pembe ya Tanzania wanatamani kujitenga, sema hawana courage tu ya kusema hivyo.

jokaKuu,
Kama utakumbuka hotuba za Mwalimu Nyerere 1995 alisema "Watanzania wanataka mabadiliko." Hakumaanisha mabadiliko ya sura za uongozi, akitoka Mwinyi anaingia Mkapa na kuendelea na sera zile zile. Alimaanisha mabadiliko ya sera na mwelekeo wa nchi. Kwa wakati CCM walitudanganya kwa kubadilisha sura za viongozi lakini sera zile zile. Sasa, kama wasemavyo Wamarekani, the chickens are coming home to roost."
 
Back
Top Bottom