Henge
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 6,933
- 1,510
Tanzania Daima? Biased news paper!
Kweli ni tofauti na gazeti la UHURU, lenyewe linaongea kweli mkuu!
Tanzania Daima? Biased news paper!
Halafu tunashangaa kwa nini madawa ya kulevya yamezagaa nchini? sasa sishangai kwa nini Wanajeshi wa Mali waliamua kuwachukulia hatua manyang'au wao ambao wahalifu wenzao waliosheheni "ECOWAS" na "AU" wanahaha kuwatetea!
Katika gazeti la jana la Tanzania Daima kulikuwa na makala hii ya Nkwazi Mhango iliyonisisimua na kunivutia sana. Mimi niko mbali na Dsm na husoma makala kwa njia ya mtandao. Kwa faida ya wengi ambao hawakubahatika kulipata gazeti hili jana naweka makala hii ili nao waisome na ikibidi wachangie hoja.

Mkuu umeona jinci maelfu wa raia wa Mali walivyoingia mitaani kuandamana kulaani kauli ya ECOWAS na kulipongeza jeshi kwa kuchukua madaraka..? Niliona kwenye TV wananchi wakiwa na furaha sana.. How i wish yatokee na maeneo mengine ambako demokrasia inabakwa..!