Tanzania Daima? Biased news paper!
Asante sana Luhala kwa kutuletea hii makala. Kwa hakika mwandishi ametusemea watanzania wengi na nampongeza kwa ujasiri wake huu. Laiti kama waandishi wote wangekuwa na ujasiri wa namna hii angalau nchi ingenusurika na kuangamizwa na manyang'au hawa wanaojiita CCM (Chama cha Majambazi). Yaani hali inasikitisha mno, makampuni ya kigeni yanavuna wasichopanda, wanatorosha kila wanachotaka kwa msaada wa majambazi waliojipenyeza kwenye chama tawala na serikalini, wakati Kenya na Uganda makampuni ya simu ndiyo yanayoongoza kwa ulipaji kodi Tanzania hakuna hata kampuni mojawapo iliyoweza kuwa angalau katika kundi la walipaji kodi ishirini bora! Eti Vodacom, Airtel, Tigo na Zantel wanapitwa na makampuni ya ulinzikwa ulipaji kodi. Natamani 2015 ije kesho ili watanzania tutoe ghadhabu zetu.
Yote tisa kumi ni utitiri wa dawa feki na vyakula substandard we imagine mpaka mayai mnaleta feki,watu wanaweka unga wa mahindi kwa capsules wanauza!
Jamani hayo mambo yana impact hata mpaka kwa watoto wenu na msidhani mko salama!
Watu wako bize kuididimiza TRL na TAZARA malori yao yafanye kazi as a result mzigo mkubwa unahamia serikalini kukarabati barabara zinazoharibika kwa mizigo mizito ambayo ata kwa mizani hupita as vijana wako kwa payroll ya matransporters.
Nakulilia Tz.
Tanzania Daima? Biased news paper!
Inasikitisha aiseee. Na nimesoma mtandaoni mheshimiwa raisi akiwaonya watanzanzania kwenye warsha na wachumi toka Japan na China kuwa waache kuwasema vibaya wawekezaji manake wakiondoka watanzanzania watasuffer!........kazi kwelikweli.. Safari ni ndefu bongo! Mungu waabariki mlioko huko!.Hivi jamani ni kipi ambacho sio kweli hapo ?
Tanzania Daima? Biased news paper!
Huwa najiuliza. Inakuwaje kupiga simu, kwa mfano, kutoka Canada kwenda Kenya nitozwe senti tano za dola na Tanzania nitozwe senti 27 za dola kwa dakika?
Ukitaka kujua nini namaanisha, watafute wafanyakazi wadogo na wa kawaida viwanja vya ndege uone walivyo matajiri wa kutupwa.
Unadhani pesa hii wanaipata wapi kama si kuruhusu uchafu na jinai kama ile ya KIA?
Halafu tunashangaa kwa nini madawa ya kulevya yamezagaa nchini? sasa sishangai kwa nini Wanajeshi wa Mali waliamua kuwachukulia hatua manyang'au wao ambao wahalifu wenzao waliosheheni "ECOWAS" na "AU" wanahaha kuwatetea!Je, kama KIA wana uwezo wa kutorosha wanyama hai na wengi kiasi hiki wanashindwa nini kuingiza maelfu ya tani za unga?
Tanzania needs a serious government to tackle international mafia gangs that plunder our economy in conjunction with people in government. Tanzanians need to take bold steps to address corruption that has reached alarming heights. The opposition parties can play a role in educating the masses to abandon CCM and its cohorts. The international community (that donate a substantial amount of their taxpayers money to support the budget) can also assist Tanzanians by setting stricter conditions on their donations. It is a great shame for the country like Tanzania that is known for its riches in natural resources to become a third ranked beggar in the world community!VODACOM subscriber zaidi ya 10m,mzunguko wa m-pesa zaidi ya 1trillion kwa siku!jee kodi yake vat,excise duty ipo wapi?
Yaani ni balaa, mafisadi wa Tanzania wanawaibia hadi wale waishio nje ya nchi. Katika utafiti wangu nimeshangazwa sana na hizi rates za kupiga simu Tanzania toka Marekani (Linganisha na jirani zetu Kenya na Uganda.
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="colspan: 2"]Kenya[/TD]
[TD="colspan: 2"]Uganda[/TD]
[TD="colspan: 2"]Tanzania[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Calling Rate from US[/TD]
in USD per minute
[TD]Minimum[/TD]
0.039
[TD]Maximum[/TD]
0.125
[TD]Minimum[/TD]
0.064
[TD]Maximum[/TD]
0.140
[TD]Minimum[/TD]
0.179
[TD]Maximum[/TD]
0.265
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]For USD 20.00,[/TD]
time in minutes
[TD]500
(> 8 hours)[/TD]
[TD]160
(> 2hours)[/TD]
[TD]300
(5 hours)[/TD]
[TD]140
(> 2 hours)[/TD]
[TD]100
(< 2 hours)[/TD]
[TD]75
(< 2 hours)[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Ukishakuwa Mtanzania, CCM itakutafuta popote pale ulipo hadi kaburini mradi tu iweze kukuibia na wewe unatakiwa katu usilalamike usije ukavuruga hali ya amani na utulivu!
Halafu tunashangaa kwa nini madawa ya kulevya yamezagaa nchini? sasa sishangai kwa nini Wanajeshi wa Mali waliamua kuwachukulia hatua manyang'au wao ambao wahalifu wenzao waliosheheni "ECOWAS" na "AU" wanahaha kuwatetea!