Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,036
- 20,338
MAKALA DHIDI YA MAAMBUKIZI MAPYA YA UKIMWI
Takwimu Zinasema Vijana Wenye Umri Wa Miaka 15 -24 Ndiyo Wanaongoza !
Hii Inaogofya ,Inatisha na Inanisukuma Moja Kwa Moja Leo Hii Hadi Kwa WATUNGA SERA ,
WATUNGA SHERIA ,WATUNGA KANUNI
Nilio Wataja Hapo Juu Ni Mihimili ya Nchi Yenye Wajibu Katika Wakati Fulani Kutunga Sheria ,Kanuni Na Sera
TAIFA Lilishatangaziwa Kuna JANGA LA UKIMWI !
Je Sheria Ziko Wapi ,Tunaliuliza Bunge !
Sheria Inayo Kwenda na Mapambano Dhidi ya Ukimwi iko Wapi ?
Tunaliiuliza Bunge ,Kama Kuna Sheria za Kuwalinda Faru ,Samaki Sangara Wasiishe Je Sheria ya Kuwalinda Watoto U-17 iko wapi ?
Tunatajiwa Maambukizi yako Kuanzia Miaka 15 kwa Sheria Na Haki za Mtoto Ambayo Tanzania Imeridhia Inawajibu Wa Kutunga sheria ya Kuwalinda na Kuanisha Sheria Mbali Mbali dhidi ya Maambukizi ya Ukimwi Kwa Watoto Hawa Wadogo
Masikini Tuwaonee Huruma ! licha ya Wengine kuwa Wamezaliwa na Maambukizi ya Ukimwi !Lakini Naamin 80 %-90 % hawakuzaliwa na Maambukizi ya Ukimwi...
Mabalaza ya Madiwani katika Halmashauli zetu zaidi ya 160 Kanuni Ziko Wapi za Mapambano dhidi ya Ukimwi Kwa Watoto ?
Watunga Sera Wataalam Wetu Mna Muongozo upi wa Sera kwa Watoto na Vijana ? ihali Takwimu Mnaziona
Vijiji Kwa Vijiji
Mitaa Kwa Mitaa
Vitongoji Kwa Vitongoji
Wapi Mnaonyesha Kweli Ukimwi ni Janga la TAIFA ?
Mtazamo Wangu Na Lengo ni Kuichagiza Jamii Ijue hili
,Jamii Ifumbuke
Mamlaka Za Nchi Zitupie Macho na Kuonyesha Uzito wa Hali ya Juu
Ahsanteni ntaendea Tena Siku nyingine.