makahaba wastaafu!

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,626


MAPACHA wenye umri wa miaka 70 nchini Amsterdam, Uholanzi, wameamua kustaafu kazi yao ya ukahaba baada ya kuifanya kwa miaka 50. Mapacha hao Louise na Martine Fokkens wameamua kustaafu baada ya umri kuwatupa mkono na kudai kuwa kwa sasa hawapati wateja. ...

Louise na Martine wamelala na jumla ya wanaume takribani 355,000, kila mmoja akiwa amejivinjari na wastani wa wanaume 177,500 kwa kipindi cha miaka 50, ambapo kwa mwaka mmoja kila mmoja alikuwa analala na wanaume 3,550 sawa na wanaume 295 kwa mwezi na kwa siku wanaume 9.

Mapacha hao ambao wanadaiwa kuwa makahaba wenye umri mkubwa zaidi jijini Amsterdam, walianza kazi hiyo wakiwa na umri wa miaka 20. Mapacha hao ni wazazi wa watoto saba, Louise akiwa na watoto wanne, na Martine yeye ana watoto watatu.
Mapacha hao ambao walikuwa wakipenda kuvaa sare ya nguo nyekundu walitoa Filamu ya simulizi za kweli iitwayo 'Meet the Fokkens' na wanatarajia kutoa kitabu kitakachoelezea safari yao katika biashara ya ngono
 
Hiyo kitu sidhani kama kuna kusitafu hapo labda wakiingia kaburini
 
Hebu na huku kwetu tujaribu kufanya utafiti, huenda tukavunja rekodi, hebu turejee enzi za mabwenga hapa jijini Dar... LOL
 
Mh hilo tumbo la mama yao lilitema sumu.!
wanahatari hawa wote wakachagua kazi moja.
 
Ni kweli, lakini kwa vile hawapati tena wateja wameona ni bora wajifanye wamestaafu.

Ehee umeona lakini ikitokea mtu akapita kwenye anga zao tu hata leo, lazima watakula sahani moja tu.

Labda kama wangekuwa wametubu/okoka na kumrudia Mungu tungesema hapo poa, vinginevyo mh, ngumu kumeza
 
Mh hilo tumbo la mama yao lilitema sumu.!
wanahatari hawa wote wakachagua kazi moja.
just imagine vibibi hivo vimeliwa tigo jamani
 
Ila inawezekana vinaonekana vibibi ila maufundi utadhani kigori katoka kuchezwa kule chumbageni Tanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…