Makafara katika ujenzi wa magorofa

@mshana jr itabidi uje na uzi kuhusu kafara

binafsi najiulizaga sana kafara ina mahusiano gani na hayo mambo ya ulimwengu usiofaa?

kwanini kafara nyingi zinahusisha damu na maisha ya kiumbe hai?
 
Mimi yalinikuta hayo nilinunua site nilijenga fasta baada ya miezi 3 nikahamia, yaliyonikuta Mungu ndo anaejua. Kiukweli Nyumbani imenishinda nimeiacha ni majanga mpk Leo sijakaa Sawa.
Sasa mgeni wa mungu unaogopa sisi tutafanyaje???

Ila tafadhali tuelezee ni mambo gani yaliyokupata huko ndugu...
 
Wala usijali kungekuwa na madhara ungeshajua siku nyingi
 
@mshana jr itabidi uje na uzi kuhusu kafara

binafsi najiulizaga sana kafara ina mahusiano gani na hayo mambo ya ulimwengu usiofaa?

kwanini kafara nyingi zinahusisha damu na maisha ya kiumbe hai?
Kafara huendana na kutoa uhai hivyo ni lazima damu ihusike
 
Dunia ni pana sana

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…