ukishindwa tafuta watu waamini wa Yesu wakae hapo usiwaambie chochote uone watu wanavyoenjoy na Yesu wao. Karibun kwa Yesu jaman huku bima yake ni Comprehensive both spiritual & freshlyNilihama na sijarudi bado Nakwenda kufanya maombi tuu
hizi mambo za kuzindika na makafara zinatesa sana jamani. dawa yao ni damu ya yesu tu katka eneo husika.
Mwaga mkojo kwanza kisha fukua ukiwa umegeuza ndala au viatu halafu malizia kwa kumwaga chumvi kisha fukia mfupa
mshana jr tupe ilim kidogo kuhusu kafara zinazofanyika ktk ujenzi wa madaraja makubwa.
hasa yale yaliyo katiza ktk mito mikubwa na bahari,mfano like la kigamboni na mengine duniani.kuna hadithi nyingi sana za ajabu kuhusu ujenzi wa hayo "madude". funguka mkuu.
kwanini mengi hujengwa usiku wa manane?.unaamka asubuhi unakuta bimu zishapanda....wiki,mwezi,miezi Mara dude hilo lishakamilika,lakini hujui lini na saa ngapi walikamilisha hiki na mile.
Usijali stay tuned...!!! Topic yake coming soon
mshana jr Wakati Upo Mdogo Ulishawahi Kutamani Kuja Kuwa Mganga? Ndani Ya Wiki 2 Huu Nadhani Ni UZI Wako Wa Pili Wa Masuala Ya USHIRIKINA. Kulikoni Mkuu Kama Vipi Tuweke Wazi Kama Nawe UMEBOBEA Ktk Kamati Za UFUNDI Ili Nami Nije Unitengenezee Dawa Magu Aniteue Ubunge Wa Ghafla.Ni jambo la kificho mno, lisilojulikana na wengine wengi lakini ukweli ni kwamba magorofa mengi uyaonayo yana roho za watu au imevunja mifupa ya watu kwa njia za ajali au yamekunywa damu ya kikafara
Si mara zote wafanyao mambo haya ni wamiliki la hasha bali mambo haya hufanywa pia na wakandarasi na hata waliopewa tenda mbali mbali kwenye site husika... Nia na lengo ni moja tuu kupata zaidi au kujikinga kishirikina
Kama tungekuwa na takwimu za kitaifa si ajabu kati ya kila magorofa kumi saba yamesababisha maafa vilema na makovu... Hili jambo lina level zake kuanzia kutoa kafara dogo la mtu mmoja mpaka ibada za makafara zifanywazo na makandarasi wakubwa kufikia viwango vya freemason
Ndio maana kwenye ujenzi wa mahekalu makubwa ya ibada hufanyika ibada maalum za kumwomba Mungu aepushe mbali mabaya yote kwenye ujenzi husika mpaka mwisho wa ujenzi wake.
Hata wewe kwa kutambua hili fanya hivyo kwenye ujenzi wako hata kama si ghorofa ili nyumba yako isije kuwa ni chanzo cha mabalaa na mitihani ya dunia
Damu ya yesu inapatikana wapi msaada pls
mshana jr Wakati Upo Mdogo Ulishawahi Kutamani Kuja Kuwa Mganga? Ndani Ya Wiki 2 Huu Nadhani Ni UZI Wako Wa Pili Wa Masuala Ya USHIRIKINA. Kulikoni Mkuu Kama Vipi Tuweke Wazi Kama Nawe UMEBOBEA Ktk Kamati Za UFUNDI Ili Nami Nije Unitengenezee Dawa Magu Aniteue Ubunge Wa Ghafla.