makada wa ccm udom wazomewa

Unatafuta mchumba ..? Hatutaki watu wenye akili za kushikiwa kama wewe katika kuatafuta kuijenga Tanzania Mpya......

Kuna tatizo gani kutafuta mchumba? au unataka na mimi nijitwalie mke watu?
 
Hakuna wa kuwa nunulia maziwa, wanapaswa tu kujua wao ni sehemu ya ushahidi wa juhudi za CCM, tena wao ni zao la utekelezaji wa Ilani ya 2005/2010/2015. Wakirudi makwao baba na mama zao watauliza nani mwema anayenunulia gongo au anayewajengea chuo kikuu nao waliofeli kufika mlimani wakasoma.



Ni kweli inasikitisha vijana wanashindwa kujifunza kutokana uvamizi wa Libya, na mbinu ni ileile ya kuvutisha bangi raia wema kisha kuhamasisha maovu kama kutupa mawe.



Nilikuwepo dogo, na tulikuwa ni vijana makini tuliopinga kwa ustaarabu na kutoa maoni yetu bila kumpiga mtu mawe, ndio maana ninyi mmezaliwa katika nchi inayopokea wakimbizi na si inayozalisha wakimbizi.



Wasomi wanaotupa mawe niwaite jina gani mkuu?



Mzee huyu matendo yake yanakera sana, nadhani bado anaishi kwa kuwa kuua ni dhambi.



Mwambieni Lema aje hapa akanushe kuwa hakutoa laki tatu kumpa, dogo wa UDOM anunue bangi na pombe siku ya public hearing pale bungeni, dogo anaitwa Jack Beur anasoma mwaka wa tatu. Then mimi nitamuomba radhi Mheshimiwa Lema.

unaongea uharo na CCM iliyooza
 
Mtoa habari hakukosea hii ni tabia ya wana CDM, sishangai mheshimiwa Lema naye alikuwepo kusaidia kununua gongo na bangi ili wasomi wa UDOM wafanye kazi za CDM. Hongera sana CDM hizi ndizo siasa za kisomi, hongera Gobless Lema kukiwezesha CDM kufanya haya.

Hapo kwenye nyeusi,hivo vitu haramu yahe,una hakika?
 
kaka pole sana lema hawezi kufanya hivyo siasa za chadema udom ni za kujitolea watu wanatoa nauli kwenda kwenye matukio sasa hiyo bangi labda wamenunua ccm pia sio hadhi ya lema kukujibu wewe .mimi mwenyewe ccm lakini mlienda bila kupewa kitu na lema bali mbunge wa dodoma alichukua wanafunzi wa shule ya sekondari city na kuwapa elfu mbili alafu chuo kimejegwa na watanzani wala sio ccm fikiri kwanza ndio utoe maoni tatizo ushabiki . tukubali kuwa chadema wameitikisa ccm alafu wabunge wa ccm hupenda kushabikia ujinga wanapata shida sio mafisadi bali maisha wanaishi wanafunzi ni magumu alafu watu wameenda bungeni kupiga makofi sasa kwa ajili gani watu wasizomee.kila siku unawasafirisha watu wakakusikilize alafu unasema kuwa serekali haina pesa waambie mafisadi wa change alafu wananchi waishi maisha bora .alafu usiwafundishe watu uoga ni zambi kubwa ccm kwa kuwa wakala wa ufisadi imetufilisi
 
Back
Top Bottom