makada wa ccm udom wazomewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

makada wa ccm udom wazomewa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by namboyo, Apr 16, 2011.

 1. n

  namboyo Member

  #1
  Apr 16, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chama cha mapinduzi kimekua kikipata upinzanani mkali kwa vijana wa chuo baada ya kujivua gamba chama hiki kimekua kikiwabembeleza wanafunzi kuwapa kampani siku hizi kila jumamosi vijana wamekua wakiombwa kuhudhuria vikao dodoma .chama hiki kimepata pigo badaa ya kukimbiwa na wapiga debe wake ndani ya chuo .mtoa tarifa amesema baadhi ya mawaziri /waunge/mkuu wa mkoa wamekerwa na hali hii ya vijana kuwazomea ccm na kupiga mawe magari .siku ya leo magari yalikua mawili na halikujaa .katibu mwenezi wa ccm udom alisema kua kaka hii yote chadema dodoma walikua wanaipenda sana ccm sasa tunazomewa hivi zamani tulishangiliwa na pia tulijaza shabibi kumi na mbili sasa hivi costa unazunguka masaa sita
   
 2. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ni trailer Picha kamili itafuata
   
 3. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2011
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni kutotaka kuelewa kwamba Tanzania imegeuka. Na akili ndogo kiasi hicho haitawezekana kuikoa CCM.
   
 4. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 764
  Trophy Points: 280
  Mtoa habari hakukosea hii ni tabia ya wana CDM, sishangai mheshimiwa Lema naye alikuwepo kusaidia kununua gongo na bangi ili wasomi wa UDOM wafanye kazi za CDM. Hongera sana CDM hizi ndizo siasa za kisomi, hongera Gobless Lema kukiwezesha CDM kufanya haya.
   
 5. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  kawanunulie maziwa waanze kuimba ccm. ccm ccm ccm ccm.
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,844
  Trophy Points: 280
  this sound like Gaddafi style huh!!
   
 7. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kwani wasiwachome moto ili Magamba yawatoke vizuri, na bado hapoa sisiem mtaona mambo mengi tu kama hamta kifuta hicho chama na kukianzisha upya
   
 8. m

  matawi JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mjepu una hasira kama vile ulikuwepo wakati wa baba wa magamba yaani TANU
   
 9. M

  Mpigania haki Member

  #9
  Apr 16, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ccm hawana lao udom.na leo dr slaa anavunja ngome ya ccm tabora.watavua mpk nguo c magamba 2.
   
 10. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  We na akili zako mbaya, yaani wasomi unawaita wavuta bangi. Nimeamini CCM yote imejaa magamba, na hizi ndio busara za CCM.
   
 11. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  No wonder msimamo wako ni huu.....simpendi SLAA simpendi SLAA simpendi SLAA simpendi SLAA simpendi SLAA simpendi SLAA
   
 12. Butho Mtenzi

  Butho Mtenzi JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 328
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mtoa habari hakukosea hii ni tabia ya wana CDM, sishangai mheshimiwa Lema naye alikuwepo kusaidia kununua gongo na bangi ili wasomi wa UDOM wafanye kazi za CDM. Hongera sana CDM hizi ndizo siasa za kisomi, hongera Gobless Lema kukiwezesha CDM kufanya haya.

  Amaaa kweli inaonekana ni jinsi gani ulivo na ujauzito wa mawazo.Usijudge vtu usivyo na uhakika navyo Chama kimepoteza mvuto ndio mana haya yanatokea.Please waombe radhi wana UDOM kwa kuwatukana pia LEMA kwa kumsingizia.Nna mashaka na ubongo wako
   
 13. L

  LAT JF-Expert Member

  #13
  Apr 16, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  duh... kweli hii itakuwa ni zaidi
   
 14. OPTIMISTIC

  OPTIMISTIC Senior Member

  #14
  Apr 16, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu cjakuelewa!! Unasema UDOM ni watu wa Bangi na Pombe esp kwa kipindi hiki
   
 15. n

  namboyo Member

  #15
  Apr 16, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka lema hawezi kuwanua watu anayeweza ni shabibi ,membe alafu wanazomea sio chadema ni wana ccm wafu kwanza chadema hawazomei.alafu wana ccm wafu wana zomea huku wakisema hiki ni chama cha koo sita yaani kikwete,msekwa,makamba ,karume,lowasa na rostam huku kada wa ccm bwana machafu analia akisema amekoma kuwa kuhadi wa mafisadi
   
 16. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #16
  Apr 16, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 764
  Trophy Points: 280
  Hakuna wa kuwa nunulia maziwa, wanapaswa tu kujua wao ni sehemu ya ushahidi wa juhudi za CCM, tena wao ni zao la utekelezaji wa Ilani ya 2005/2010/2015. Wakirudi makwao baba na mama zao watauliza nani mwema anayenunulia gongo au anayewajengea chuo kikuu nao waliofeli kufika mlimani wakasoma.

  Ni kweli inasikitisha vijana wanashindwa kujifunza kutokana uvamizi wa Libya, na mbinu ni ileile ya kuvutisha bangi raia wema kisha kuhamasisha maovu kama kutupa mawe.

  Nilikuwepo dogo, na tulikuwa ni vijana makini tuliopinga kwa ustaarabu na kutoa maoni yetu bila kumpiga mtu mawe, ndio maana ninyi mmezaliwa katika nchi inayopokea wakimbizi na si inayozalisha wakimbizi.

  Wasomi wanaotupa mawe niwaite jina gani mkuu?

  Mzee huyu matendo yake yanakera sana, nadhani bado anaishi kwa kuwa kuua ni dhambi.

  Mwambieni Lema aje hapa akanushe kuwa hakutoa laki tatu kumpa, dogo wa UDOM anunue bangi na pombe siku ya public hearing pale bungeni, dogo anaitwa Jack Beur anasoma mwaka wa tatu. Then mimi nitamuomba radhi Mheshimiwa Lema.
   
 17. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #17
  Apr 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  wanaozomea ccm ni wana ccm wenyewe. Fikiri kama baadhi yao wanasema walijaza gali zaidi ya mbili, lakini sasa wanasema hata costa moja haijai.
  Hapo jiulize je waliojaza gali awali walikuwa cdm. Akili ikitumika utagundua ya kwamba wale waliokuwa wafuasi yaweza wamevua magamba ya ccm.
   
 18. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #18
  Apr 16, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukweli ni kwamba CCM imepoteza mvuto mbele ya umma wa watanzania hayo mengine unayasema wewe kishabiki. Kauli yako hii pia ni dharau kwa wasomi wa UDOM. Kauli za namna hii zinamfaa Yusuph Makamba na Tambwe Hiza, au ndio wamekuachia wewe nini? Shughulikieni matatizo ya watanzania, acheni kui-singizia CHADEMA kwa kufanya hivyo mnaendelea kuitangaza
   
 19. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #19
  Apr 16, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 764
  Trophy Points: 280
  Chama kinachopoteza mvuto kinaongoza dola? sawa NRA ina mvuto? mbona katibu wa organisation anasoma hapo hakuna siku amezomewa? Suala hapa si mvuto bali ni tabia ya kuonesha huko kukosa mvuto, kwa wasomi kuzomea ni ujinga na ushamba wa hali ya juu, hat unikate kichwa siwezi kumuita mtu anayetupa mawe, anayefanya vurugu msomi. Huo usomi haupatikani kwa kupata admission chuo bali tabia zako.
   
 20. mooduke

  mooduke JF-Expert Member

  #20
  Apr 16, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 619
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Unatafuta mchumba ..? Hatutaki watu wenye akili za kushikiwa kama wewe katika kuatafuta kuijenga Tanzania Mpya......

   
Loading...