GE2025 Makada: CHAUMMA hawana tofauti na CCM ni Wezi tu, tunarudi CHADEMA

GE2025 Makada: CHAUMMA hawana tofauti na CCM ni Wezi tu, tunarudi CHADEMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Itakuwa ni makosa kufanya hivyo,wengine hawakujua ukweli. Sasa wakiamua kurudi kuna kosa gani?
Miaka yote wako Chadema wamepewa mikopo na piki piki? Chadema imewatengenezea barabara? Hawa hawajawahi kuondoka Chadema.

Kuna yule dada aliyesema kuwa Chaumma walimpa mapesa kibao. Alipoambiwa amtaje aliyempa akaingia gizani. Mbinu za kishamba sana.

Amandla...
 
Back
Top Bottom