Makaburini: Ni sehemu iliyojaa upweke na ukiwa

Makaburini: Ni sehemu iliyojaa upweke na ukiwa

Kabla ya hapo nilidhani bangi haziogopi makaburi na vifo

Mbona wanadai wavuta bangi kwao huwa ni rahisi kuona wachawi na mauza uza. Hao wavuta bangi labda waliona vitu vya ajabu ndo mana wakatimua.
 
Diva Beyonce niliwategeshea alarm yenye mlio wa paka bila wao kujua ilipofika nane kamili usiku alarm ikapiga nyaaauuuuu nyaaauuuuu.....!hata kabla mlio wa kwanza haujaisha nilikuwa pekeyangu tayari jamaa wametimua mbio hasa
 
Last edited by a moderator:
Mmh Mshana hebu fafanua vizuri...mantiki ya kuwaondoa wenzako lindoni ilikuwa nini?
 
Mmh Mshana hebu fafanua vizuri...mantiki ya kuwaondoa wenzako lindoni ilikuwa nini?
Dina sikuwaondoa bali walikimbia wenyewe mimi nilifanya vile kuwa test confidence zao tuu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mshana Jr. ukweli nina siku nyingi sijacheka kama leo🙂 Asante sana kwa kuufanya mchana wangu ukawa wa furaha hivi!!!! Kweli Makaburini ni hatari🙂
 
mshanajr umeamua uchekeshe Sasa....ila ukweli makaburi yanatisha....
 
Last edited by a moderator:
Halafu ukabaki lindoni mwenyewe.....manake wao si rahisi kurudi tena...

Kabisa halafu nikaenjoy kweli kwakuwa nilibaki mimi na marehemu tuu mpaka kuna wakati nikajihisi pengine nami ni mmoja wao
Kiukweli Dina ni kwamba nilikuwa na practice graveyards meditation...!mahali zinapokutana roho 2 mfu na hai
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mshana Jr. ukweli nina siku nyingi sijacheka kama leo🙂 Asante sana kwa kuufanya mchana wangu ukawa wa furaha hivi!!!! Kweli Makaburini ni hatari🙂

mshanajr umeamua uchekeshe Sasa....ila ukweli makaburi yanatisha....

Ukitaka kujua pale mahali hapana mchezo mpeleke chizi au mwendawazimu uone kama hutabaki pekeyako!
 
Last edited by a moderator:
Wachawi wa kidigitali hao.! Habari mingiii kumbe yumo kati kati.!
 
Back
Top Bottom