Makaburini: Ni sehemu iliyojaa upweke na ukiwa

mshana jr

Daaaaa aisee hata kama umepigwa kibuti na mpenzi wako njoo JF utasahau matatizo yote kwa mda............
 
Last edited by a moderator:
We noma, yaani giza na makaburi yenye kichaka peke yako? Rafiki yangu alikuwa na nyumba kwa uwani kulikuwa na makaburi ya zamani ukifungua tu jikoni unaona makaburi akaniambia ameshazoea hali hiyo.
Na majirani wapo wanaona kawaida maana ni ya zamani sana na wanayasafisha kila wakati
 
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2012 nilipopata tatizo ambalo lilipelekea kunipeleka kwa mganga.
Nilipewa dawa mbili zikiwa zimezungushiwa vitambaa vya dog-dog,wengine huita vitambaa vya kimasai vya draft.
Nilipewa huku nikiambiwa dawa iliyozungushiwa kitambaa cha rangi ya bluu nikakizike au nikakitumbukize ndani ya kaburi lililopasuka ambalo amezikwa maiti ya jinsia ya kiume na dawa iliyozungushiwa kitambaa cha rangi nyekundu nikakizike au nikakitumbukize ndani ya kaburi lililopasuka ambalo amezikwa maiti ya jinsia ya kike.

Nilikubali masharti na nilipotoka hapo nikaenda makaburi ya Mwananyamala (haya hayana uzio) ili kwenda kufanya research kuweza kupata aina ya makaburi hayo ninayoyataka.

Nilimtafuta rafiki yangu mmoja kwa ajili ya kunisindikiza.
Ilipofika saa 8 kukaribia saa 9 tuliamshana na rafiki yangu ili kwenda makaburini.
Mimi nikiwa nimeshika simu yenye tochi na dawa na rafiki yangu akiwa ameshika kijiko kwa ajili ya kufukulia kaburi ambalo halijasakafiwa kwa sementi.
....Tulipanda bajaji mpaka uwanja wa kwa Kopa, najua wengine wanaufahamu.
Tukamlipa dereva na kujibanza pembeni ili tuone kama hakuna mtu/watu wanaotufatilia.
Tulipoona hali ni shwari tuliambaa na ukuta wa gerej, wakazi wa Mwananyamala watakuwa wanaufahamu na kutokea kwenye miarobaini iliyopo makaburini hapo.

Mimi nikiwa mbele na rafiki yangu akiwa nyuma yangu, tulitembea kwa kunyata ili hata kama kuna watu wasituone.
Uzoefu wa makaburi hayo haukutupa shida kwa usiku ule.
Tulilipata kaburi alilozikwa maiti ya kiume tukafukua mchanga kwa kijiko kisha tukaizika ile dawa.
Tukapiga kama hatua mbili mbele ili kuliendea kaburi la maiti ya kike, ghafla rafiki yangu alipiga ukunga kuwa anakabwa, mimi bila kuangalia ni nini kimetokea nikaanza kutimua mbio kuelekea usawa wa barabarani,huku nikimuacha rafiki yangu akipiga kelele.
Roho iliniuma ila nilikuwa naokoa roho yangu.
Ile dawa nikaidondosha...
Nikivyofika barabarani, walinzi wa soko wakanidaka nami kwa aibu na woga nikataka kukimbia, wakanibana sawasawa kuwa niwaeleze makaburini usiku ule nilikuwa nafanya nini.
Ilibidi niwaeleze ukweli maana hali ilikuwa mbaya halafu nilitaka nimuokoe rafiki yangu.
Tulirudi makaburini kumuangalia rafiki yangu...tulimkuta pale nilipomuacha akiwa yuko uchi wa mnyama....alikuwa amebakwa na wahuni...
Tulimbeba mpaka barabarani, tukawa tunasubiri bajaji.
Rafiki yangu alianza kukoroma kama anakata roho, wale walinzi kwa kuogopa msala walikimbia wakaniacha mwenyewe na yule rafiki yangu.
Kwa ujasiri nilisimamisha bajaji, nikampakia na kumpeleka kwa rafiki yangu mwingine anayeishi Makumbushi...huko tukamkanda na maji moto, asubuhi tukampeleka Dispensary kutibiwa...hatukumpeleka hospitali kuogopa kesi.

Alipona baadae sana.
Siku yule mganga ananipigia simu kama nimefanikiwa....nilimtukana sana kwani nilijua huenda alipanga njama za kuwaandaa watu watubake ili azma yetu isifanikiwe, nadhani huenda alikuwa tapeli.

Mshana Jr....makaburini paone hivihivi.
Mie leo hii hata makaburini mchana sikatizi, maana lile tukio sitakuja kulisahau.
 
Last edited by a moderator:
kwaio uliendelea kuinda peke au shuguli ya ulinzi ikaishia hapo
 
Hahahahaaaaaaa hahahahaaaaaaa nimeishi mitaa hiyo na nilikuwa nakunywa ile bar karibu na hayo makaburi halafu nilikuwa nikirudi hm ndio ilikuwa njia yangu umenichekesha kwakuwa nayajua vema hayo maeneo hata hivyo hongera kwa ujasiri
 
Last edited by a moderator:
hahahahahaha wewe ulikuwa na ajenda zako, na ukabaki hadi asubuhi peke yako.
 
Kabisa halafu nikaenjoy kweli kwakuwa nilibaki mimi na marehemu tuu mpaka kuna wakati nikajihisi pengine nami ni mmoja wao
Kiukweli Dina ni kwamba nilikuwa na practice graveyards meditation...!mahali zinapokutana roho 2 mfu na hai

GRAVEYARDS MEDITATION ndo kitu gani hicho au ww ni mganga wa jadi nini..??
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi #mshanajr umekuwa kama #mzizimkavu lakin kastorry katamu nimecheka sana, u made myday
 
Back
Top Bottom