Mmmmh hao kwenye Red,
AAaaaiseeeeeeeeeee..........
Sawa kabisa......Wapimbwe, Wabende mkoani kwangu.Wafipa,warungu na wamambwe mkoani Rukwa
dah,kumbe kuna kabila linaitwa wasi? unaona sasa faida ya huu uzi, kwani hata mie nilikuwa sijui. . .
hapo kuna wasimbiti,wakwaya,waruli,wakiroba,waikizu,wakara
kipi kikushangazacho?
Kwetu
wazaramo
wakwere
wamatumbi
hapo kuna wasimbiti,wakwaya,waruli,wakiroba,waikizu,wakara
Wafipa,warungu na wamambwe mkoani Rukwa
wangoni, wamatengo, wanyasa, .......
Ongeza na wanata,waikoma,waisenye,wangoreme............kumbe The secretary unatoka kwa mapanga shaa
kwetu
wakojani na wabaniani
jaman hzo ni koo/kaya
mmhh..kwetu
wakojani na wabaniani