Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,494
- 145,857
That is grossy!...For the record Dada Joyce doesnt take any bullshit she is such a strong woman,wee ueajiriwa kufanya kazi na siyo kutongoza au kuleta lelemama piga mzigo matokeo utayapata mwisho wa mwezi...tatizo mmeshazoea wale wanawake wanaosema yes sir (maharagwe ya Mbeya).Wanawake wa Kinyalu ni very beautiful,strong and very smart.
sasa hako kamsemo kalitokea wapi maana hivi vimisemo huwaga vina ukweli ndani yake?
Like Toxican Naughty Girl....?
Ni kamsemo enzi hizo na ukoloni...ila hakuna kitu kama hicho wahehe walizoea kusema kuwa kambwa kenyewe kalikuwa kadogo refering too ngombe.....basi watu wakadhani wahehe wanakula mbwa..na hiyo siyo kweli kuwa ni tunakula mbwa miye sijawahi kuona ndugu yangu yeyote anakula mbwa....basi tuu kwani kweli Wanyamwezi au wasukuma wanapenda wanawake weupe tuu?...au kwani kweli wapare wabahili?...au kwani kweli wachaga wana miguu kama pingili za muwa?..au kwani kweli wanawake wa kisingida ni easy going?...No hakuna ukweli ndani yake basi tuu...ni watu na mitazamo yao.
Yah dada Joy nasikia Brenda,who knows....Uncle J labda alimwomba issue akiwa tingasi!!? Maana nasikia yule dada wa kinyalu nyeti zake amezitwanga kufuri la chuma lililomiminiwa shaba. Kulivunja inabidi uje na welding ya kukatia vyuma vya tractor..... na ukishindwa na moto unakuwakia!.
Bora muendelee kula mbwa kuliko hii tabia yenu ya kuroga wanaume…..Of course i am a proud Nyalu aisee from Nyalu land...and no its not true kuwa wanyalu wanakula Mbwa..nikamsemo tuu hako.
LOL!...Oh yes indeed like toxican Naughty girl.....How did you know that? you finally did your research uh.
Ni kweli wanaume wengi wa kisukuma wanapenda wanawake weupe....ila of course kuna exceptions...wink wink
Yah dada Joy nasikia Brenda,who knows
Bora muendelee kula mbwa kuliko hii tabia yenu ya kuroga wanaume ..
BTW nani aliwahi kufanya kazi boss wake akawa Mbeijing? ni kero kubwa
hahahaha!...kwani wewe msukuma?.
yeah..i had to do my research, you know....
Toxican Naughty Girl is fiyaaaaaaaa...she's hot to death
Mimi ni cross between msukuma na mnyamwezi....
Ila mimi i don't care...toxican kanichanganya akili.....
??????????????????😱
hahaha Toxican naughty girl is SO fierce for really!....i see! i see!...mmh i like your style.LOL!...
Well well well itabidi niongee naye 4shoo...Nitamueleza bwana kuna rikaka ra kisukuma na kinyamwezi rimekuzimia...na mta make a good couple kama jay na B.
Weeeee nani kasema Binadamu ni sawa???mnasema binadamu wote ni sawa then lets be equal kwa nini wanawake tunawekwa nyuma..so now nkitawaliwa na wanawake makazini mnaona hatari..why?
Mimi ni cross between msukuma na mnyamwezi....
Sasa mwanjelwa hutaki?..unadhani utafananisha mademu wa Kinyalu na wale wa Pale Mwanjelwa sokoni au kule soko Matola? ......wee sema ukweli wako... really talk!
Yeah...Toxican Naughty Girl is da bombest mami.....
Johnson is in trouble now....I better coz I don't wanna get him in more trouble
you make me happy. You make my day. Wanawake Iringa!? Wale wale ninaowajua mimi! Labda wewe
Hahahahah tell Johnson to calm down na yeye mbona ana fujo sana eeeh!...lol..i didn't know if yo are this stupid hahahahah you really crack me out...
Weeeee nani kasema Binadamu ni sawa???
BTW kama mwanamke awe boss wangu kwa sasa ningependelea Rita Paulsen
Mimi ni cross between msukuma na mnyamwezi....
QUOTE]
Inaelekea una dada wazuri sana.....hook me one.
Si ndiyo mlivyokuwa mnasema enzi za nyerere kuwa binadamu wote ni sawa?
Unapendelea Bisexual uh?!....