Watu wa namna hiyo huishi miaka mingi sana...na kinga yao (immunity) ipo juu sana. kuugua kwao ni kwa nadra pia..ila wakipata homa huwa zinawapelekesha sana....somtym hata kupoteza maisha....
Mmasai akifika anaposhukia (mara nyingi ni mbugani porini hamna hata nyumba na sio kituo cha gari kusimama na wakati huo basi liko spidi zaidi ya 120) basi atamgonga kondakta rungu la kichwa huku anamwambia shusha!!!