Midumare Ngatuni Iwato JF-Expert Member Jul 13, 2016 1,653 2,038 Jan 21, 2018 #1 1. Warangi 2. Wanyaturu 3. Wameru 4. Wamasai 5. Wasukuma 6. Wachagga 7. Wahaya 8. Wanyamwenzi 9. Wapare 10. Wanyakysa
1. Warangi 2. Wanyaturu 3. Wameru 4. Wamasai 5. Wasukuma 6. Wachagga 7. Wahaya 8. Wanyamwenzi 9. Wapare 10. Wanyakysa
jingalao JF-Expert Member Oct 12, 2011 35,053 28,245 Jan 21, 2018 #2 We jamaa huna macho ya kuchagua aisee
Midumare Ngatuni Iwato JF-Expert Member Jul 13, 2016 1,653 2,038 Jan 21, 2018 Thread starter #5 mtamanyali said: hivi wewe unawafahamu wanyantuzu? Click to expand... Hapana Ndio mara yakwanza nasikia kutoka kwako
mtamanyali said: hivi wewe unawafahamu wanyantuzu? Click to expand... Hapana Ndio mara yakwanza nasikia kutoka kwako
Midumare Ngatuni Iwato JF-Expert Member Jul 13, 2016 1,653 2,038 Jan 21, 2018 Thread starter #8 Archduke said: Tanga vipi Click to expand... Tanga Hakuna kelele
Papaa Gx JF-Expert Member Oct 10, 2016 10,098 15,685 Jan 21, 2018 #9 We unawajua wakurya jinsi walivyo wazuri?
jamanoma Member Jul 9, 2017 21 36 Jan 21, 2018 #11 Ambatanisha vigezo ulivyo vitumia ili tupate oanisha na sifa ya uzuri wa wanawake wa hyo mikoa.
G.Man JF-Expert Member Feb 9, 2014 1,008 2,002 Jan 21, 2018 #12 Wambulu vip mkuu, au umepika takwimu? Maana hawamu hii wapishi wameongezeka
Mtengwa II JF-Expert Member Mar 13, 2017 851 1,406 Jan 21, 2018 #13 warangi ni waajabu sana! Sura nzuri ila mguu kama tubelight!
The Illicit Mc JF-Expert Member Jan 21, 2018 469 640 Jan 21, 2018 #14 Kuna kabira namba ngapi hapo inaonyesha ni jinsi gani walivyo wengi kila insue ya kikabila wamooo Iwe sifa au dhihaka kweli welcome Tanzania na takwimu zetu kivyetu
Kuna kabira namba ngapi hapo inaonyesha ni jinsi gani walivyo wengi kila insue ya kikabila wamooo Iwe sifa au dhihaka kweli welcome Tanzania na takwimu zetu kivyetu