Majuto TCRA Kufungia Simu Original zenye S/No. 123456789ABCDEF


Ivi hakuna namna kufanya MTU asiweze kuitraki simu yako hakajua ulipo,,au unafanyaje ili kuitraki simu yako ikiibiwa au kupotea, wife wangu kaibiwa simu yake TechnoJ8 amehamua kwenda tigo waifunge isifanye kazi kabisa
 
Simple logic simu ikapotea unatoa taharifa, kwenye database ya simu husika kama lg watajua imei number flani ni ya simu ipi na serial number, IMEI itafungwa ili isipokee tena network, ikitokea wakaibadilisha imei itakuwa hewani na itapata network, lakini serial itabaki kama ushahidi kwamba kama imei number inapaswa kuwa na serial number nyuma ya battery ikitofautiana basi itajulikana umefanya udanganyifu hitimisho imei for network register,
 
Lakini nikirestore kuna muda inaleta maandishi kwa kizungu kuwa kuwa kuna laini imeingia halafua inanipa uchaguzi ama niskip au nipige OK, lakini baadae inapiga X tu kama Morogoro road laini zote.
 
Kuna jamaa yangu kaletewa Huawei mpya kabisa kutoka ughaibuni imegoma kabisa hata kusoma laini. Tumejaribu kurestore lakini wapi. Nadhani na yenyewe imepitiwa na hiki kimbunga cha TCRA.
Nadhani inaweza isiwe tatizo la kufungia simu la TCRA. Siku hizi kuna kitu kinaitwa "regional lock" ambapo unatakiwa ukinunua simu uitumie kwa kuweka simcard ya eneo hilo(nchi) kwa kama dakika 5 hivi (kupiga simu au kupokea au hata kutumia internet-data). Baada ya hapo itakuwa imefunguka na unaweza kuitumia sehemu nyingine au region nyingine. Huu natolea mfano wa EU-european union countries.
Wanasema usipofanya hivo haitafanya kazi kama simcard ya kwanza kuwekwa itakuwa ya sehemu tofauti na ulipoinunua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…