Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Mitandao ni mizuri tu kuna watu wa kila sampuli pia unaweza kufanya urafiki kwanza sasa ukiwaza kingono ngono hii sio site ya machangu
neno kuntu,hata kupika ugali kuna hatua zake
 
Wengine wamekataliwa hasira waja kumalizia humu na kuponda vigezo hawana wala quality
Tehe tehe tehe, tihi tihi tihi, kwekwekwekwe
Vijana wana mambo!!!!!!

Zamani wakati haya mambo ya simu hayapo, nilikuwa namkula house girl na wala sina habari na dunia. Ndiyo maana hata kutongoza napataga shida.

Tehe tehe tehe, tihi tihi tihi.
 
Unataka papuchi kuna page nyingi za wanaojiuza unaenda wafata hafu mwenyewe ukute huna quality hafu unataka mrembo utasubiri sana, nenda kwenye sehemu zenye hadhi.humu JF utaumia tu bure wallah.

Hafu Mimi kwanza hukutana na mtu nafanya urafiki kwanza haya ya mahusiano humu Jf ni big no, too much childish nakuzalilishana hivi
 
Hahaaaa ulitisha sana mkuu
 
Vp jamaa yangu hudindi au
Wanawake wote sawa maana wana mashimo sasa sijui wew ulitaka kumpata wema sepetu humu
 
Umeandika point muhimu sana hata mtaani huwa haiwi rahisi.kihvivo
Tangu 2007 hadi naoa I met friends online, sijawahi kujuta coz sikuwa natongoza from first instance, yaani kufikia mahusiano watu tumeshafahamiana vizuri and she's comfortable with me.

Sasa tunachat leo ->tunapeana namba kesho ->promise za kukutana tunafanya kesho jioni ->alhamisi nachukua chumba Riverside ubungo ->unakuja tunakula na kunywa then tunalalana then mtu anarudi mitandaoni kuwa taswira niliyokuwa nayo sicho nilichoona.
That's rubbish!!!
 
 
Hahahahahaaaa
Hahahahaha cariha ila me ushauri wangu muwe mnaweka avator ambazo zinaendana nanyinyi bac ili siku tukikutana mshtuko wetu usiwe mkubwa hii si kwawanawake tu bali hata kwavidume, mwanaume unasura kama wasira alafu unaweka evator ya chriss brown
 
Hahahaha cariha bac niwe rafiki yako ila uniweke chini yauangalizi kwamda maalum mpaka uridhike hahha
 
Nakuunga mkono kiongozi. Urafiki kwanza angalau upate kujau mawili matatu kuhusu huyo muhusika
 
i once met with my girl friend from this mitandao and so on,we used to know each other,spending out together for more than two years....unajua kilichofuatia......????
 
Pole kijana Gluk kwa kutongoza na kulawitiwa na mwanamme mwenzako ukihisi alikuwa mwanamke, ndiyo balaa ya wanaume wa Dar hiyo. Unafikiri kwanini Mh. Makonda anawawinda kwa udi na uvumba?
 
Na ukikutana na mtu for the first time mnaanza kuwa marafiki kwanza mnazoeana then ndo unajipima huyu tutaendana naye, sasa nowadays I wonder mtu eti anavutiwa na avator sijui comments sijui nini kah.

Na ndo maana mahusiano ya sikuhizi hayadumu kabisa mnachart week haijaisha mshazini. Mtandao ni sehemu salama ya kupata marafiki wa faida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…