Im flattered.
We jamaa naona unapambana mwanzo mwisho....hahahaha ndio uwanaume huo komaa chali yanguWalioweka PM si wajinga....tunaenda kule kutumiana Picha
Mtu wa pili huyo anakuambia hahaha nilianza mimiHahaaaaa hamna aliyenivuruga hizi topic za watu kulalamika sijui flani mubaya sijui anajifanya ka alipenda urafiki na sio matananio yakiuzinzi mambo yasingefika huko yalipofika aisee
Basi tukachati...Sasa mi mambo ya picha siyawez mi sio slay queen
For the compliment.Why???
Mtu wa pili huyo anakuambia hahaha nilianza mimi
OkayFor the compliment.
Sio kwamba napambana...bali nataka kuonyesha kwamba PM...ni kipengere kilichowekwa kwa ajili mtu anayetaka kuchati mambo fulani ya private...Sasa watu wengi wanakosa uelewa wa hicho kitu na kudhani mtu akikufata Private Message(PM)...Anawaza muda wote kutongozwaWe jamaa naona unapambana mwanzo mwisho....hahahaha ndio uwanaume huo komaa chali yangu
Anachosema cariha hapo kwanini hicho mlichoongea private kina letwa public??Sio kwamba napambana...bali nataka kuonyesha kwamba PM...ni kipengere kilichowekwa kwa ajili mtu anayetaka kuchati mambo fulani ya private...Sasa watu wengi wanakosa uelewa wa hicho kitu na kudhani mtu akikufata Private Message(PM)...Anawaza muda wote kutongozwa
Tumejionea wengi ni ujinga na Kuja kuzakilishana humu. Though pm ni muhimu Ila humu ni sehemu ya watu kutafta ubuyu na kikiSio kwamba napambana...bali nataka kuonyesha kwamba PM...ni kipengere kilichowekwa kwa ajili mtu anayetaka kuchati mambo fulani ya private...Sasa watu wengi wanakosa uelewa wa hicho kitu na kudhani mtu akikufata Private Message(PM)...Anawaza muda wote kutongozwa
HaaahaaaaUsijali Mkuu. Naona umenijia juu ghafla duuuhhh.
Pole sana Mkuu jitahidi kuwaelewesha wakuelewe maana mi si mmoja wao. Bye.
♀️♀️♀️♀️♀️
Jf haiwezi kuwa sehemu ya kutafuta ubuyu wala kiki hapa ni sehemu huru ya kuongea chochote unachohisi kuwa kimekukwaza au kukutatiza.Tumejionea wengi ni ujinga na Kuja kuzakilishana humu. Though pm ni muhimu Ila humu ni sehemu ya watu kutafta ubuyu na kiki
Jf haiwezi kuwa sehemu ya kutafuta ubuyu wala kiki hapa ni sehemu huru ya kuongea chochote unachohisi kuwa kimekukwaza au kukutatiza.
Hahaha nifichwe na nan pacha nngefichwa nngeshakwambia we tenaPacha pacha pacha pachaaaaa.
Huu mtupano hata Mungu hapendi ujue. Haya aliyekuficha mwambie nina kesi naye kwa kweli.
Mambo zako?
AAA wapi mi naweka avator inayonivutia sio mtu mwingine mwenye matamanio yake kwanza Mimi humu had nikutane na mtu sijui iweje nimekutana na wachache na hawana utoto wa kuanzisha mada za hovyo we are normal friends. So avator ni minor issue mi cjali sura sina uwezo wakuumba hata kucha as long as we can be good friends no problem. Napenda roho ya MTU
Hatuwezi kuweka picha halisi ili Ku empress MTU mwenye matamanio yake. Ndo mana hii forum inatumia fake identity. Ukitaka picture waenda fb au IG