Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Hahahaaaaa. Nimejikuta nakuelewa tu Sesten nitafanya hivyo.

Ila pia nimecheka hivi mie na gym wapi na wapi jamaani. πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ
Hahahaaaaa gym si hata ile ya kukimbia mchakamchaka Hajar

Hujui huko kwenye michamichaka watu watu "wanatekana" tena Me wanateka Ke na Ke wanateka MeπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Ni bora hata muwe mnaweka vitu vingine hatatu sura ya image ya kondoo, ila mnavyoweka za kina amber rose mnadraw attention zetu na personalization ni kosa tutawapeleka mahakamani
Mkuu skuiz wanaweza kuweka hta picha zao sasa ukija hpo kwenye hizo pic kuna ma apps kibao za filters.

Wew omba tu utakaekuja kuonana nae asije kua jini kabula mna haya mambo skuiz yamekua ndivyo sivyo.
 
Naogopa kumsema mtu kwa sura yake saana naona kama namdhalilisha.

Mfano kama nimekutana na mwanamke humu hata kama nimboovu...akinitumia picha namsifia tena saana.

Hakuna jambo mbaya kama kumwqmbia mtu u mbaya.

Itamuuma.
Mkuu mwambie mtu mbaya uone vile utakavyochukiwa hadi uombe kujichimbia hata kma mbaya kweli.
 
Umenichekesha mkuu....kuna mama la mama moja humu ndo zake!
App na filter kama kama zotee!

Simara
kuna watu usiombe ukatane nao wanatisha.

Kweli uanaume mateso na sio ya kutafta maisha tu pia na hizi changamoto tunazokutana nazo kwa wadada na tukavumilia.
 

Kabisa umemshauri vizuri Mimi huwaga nashangaa sana kwanini wanaume wanakimbilia kuanzisha mada humu
 
Mkuu Rrondo hii ndiyo JF bwana. Watu husema wanachotaka kwasababu hawaonekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…