Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Sema wataalamu wanakwambia kupata hivo visu huku ni kama unavyotafuta dhahabu shughuli yake
Hahaha....waendelee kutafuta sasa.

wapigie pande basi shoga zako wale wazuri wazuri wa humu.
 
Hujui tunakuaga wafupiii
Wafupi wapogoro na waruguru bana, mzigua mfupi ni bahati mbaya tu na sijapata hiyo bahati ya kukutana nae ni mizigo tu wanakua wamening'iniza kama wahaya na wachaga hivi
 
Hapo hata mimi naungana na mtoa mada. Kwanini uwekw avatar ya kuvutia wakati hufanani nayo hata kidogo. Halafu ukianza kuponda wanaume sasa. Watu wakiangalia avatar na majigambo wanajua hiki kisu. Kumbe panga butu
Hahahaha ukalale ukue

sijakushambulia

Nimeelezea tu inavyokera kuweka avatar tamu halafu unakutana na sura ya jiwe inaumiza sana namfeel mtoa mada hali aliyomo kwakweli
 
Hapo hata mimi naungana na mtoa mada. Kwanini uwekw avatar ya kuvutia wakati hufanani nayo hata kidogo. Halafu ukianza kuponda wanaume sasa. Watu wakiangalia avatar na majigambo wanajua hiki kisu. Kumbe panga butu
Hahahaha, eti panga butu
 
Ukishamalizana nao hao nipasie ID zao niruke nao, wanaume hatutupani bwana kizuri kula na nduguyo!
Naogopa kumsema mtu kwa sura yake saana naona kama namdhalilisha.

Mfano kama nimekutana na mwanamke humu hata kama nimboovu...akinitumia picha namsifia tena saana.

Hakuna jambo mbaya kama kumwqmbia mtu u mbaya.

Itamuuma.
 
Inaelekea ulimgharamia mpaka kuonana nae , pole sana! Sometimes Shi.t do happen
 
Msichojua ni kuwa ID za kike nyingi ambazo ni maarufu wengi wao ni manungaembe sura mbovu maumbo kama biringanya matumbo yamening'inia mpaka yameziba kinena cha bibi miguu fito

Kuna mmoja maarufu sana humu ni shapeless balaa ana pasi ya adabu lakini anavyojishebedua

Maarufu wengi humu ni magarasa ukitaka vyombo tafuta ID zisizo maarufu hakika utafurahi lakini maarufu utakutana na midume myenzio yenye k
Huu ni ukweli mchingu ujue Haya girl
 
Back
Top Bottom