katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,756
Nisivyonavyo unamatatizo kabisa sina nini nimeumbwa mwanamke nikose nini acha mashauzi bila sisi huwezi kuishi kwa amani kuwa mpoleWe mama utakuwa garasa halafu mashauzi kama yote
jikubali tu usijipe usivyonavyo
Alimziba uso na mto labda huku akiwa anamkula
Hahhaaha wambeke hapana aisee kwake hakuna mzuri sasa hayo mambo yalivurugika vipi jamani ebu mcheck tena
Jamani pole mnoo kwa kuumwaNiliumwa. Jana alikuja 777 akanichek nikashindwa kwenda
Hahahaha, binti upo salama lknBaba angu unaongea na simu au
Umeoteshwa au??
Ha ha ha ha ha ha ulishawahi kukutana na tukio la namna hiiCover the face fire the base ilihusika
Nipo salama baba naona hapo ulikuwa unaongea na simuHahahaha, binti upo salama lkn
Hahahaha, hapana bibie soma vzr juu kdg ya hy utaelewa bintiNipo salama baba naona hapo ulikuwa unaongea na simu
JF watu ni makuzi sanaKilichomtokea ni kama hiyo avatar yako, akutongoze halafu akikutana na wewe anagundua yuko na kifaa cha kumsaidia Mtoto Kunywa Uji vizuri na kwa utulivu
Hongera mkuu mara nyingi michango yako ni chanya baki hapo hapo keep the good workHahaaaa makubwa haya hivi unavutiwaje na avator ya mtu eti ndo upendo kah kwani mtu akiwa na hyo sura kajiumba yeye si ndo alivozaliwa you can't change it umba wa kwako mzuri, mi ndo mana hushangaa watu humu anataka akuone sura na picha ili iweje. JF ni mtandao mzuri ukiutumia positive wengine tumekutana na watu humu twaheshimiana no utoto sijui sura, status tumekuwa wote Mengi.
Jikazeni jamani. Kwani mliambiwa watu wa humu ndio wako perfect?
Umejitahidi kufyatua hapaHalafu humu siwajui watu wengi ujue.
Kumbe haka kamwanangu kazuri eeeh?
Thanks dear for ur appreciation I like it from my heartHongera mkuu mara nyingi michango yako ni chanya baki hapo hapo keep the good work