Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Msichojua ni kuwa ID za kike nyingi ambazo ni maarufu wengi wao ni manungaembe sura mbovu maumbo kama biringanya matumbo yamening'inia mpaka yameziba kinena cha bibi miguu fito

Kuna mmoja maarufu sana humu ni shapeless balaa ana pasi ya adabu lakini anavyojishebedua

Maarufu wengi humu ni magarasa ukitaka vyombo tafuta ID zisizo maarufu hakika utafurahi lakini maarufu utakutana na midume myenzio yenye k
AGIZA KINYWAJI POPOTE PALE ULIPO .
 
Sijawahi kutongoza humu na sidhani kama nitatongoza
Nitatongoza nani nisiyemuona
Bora fb unathaminisha alafu ndio unaanza uchokozi

Sema hii yenyewe pwani homeboy
Hatuwezi kosa kula kwa sababu ya pilipili
Kwani we unashughulika na sura au huko kungine
Sometime mavumba tu sura ngumu ila kazikazi miuno feni, miuno elfu nane nini pale kati sana tu
 
Hahahaha ukalale ukue

sijakushambulia

Nimeelezea tu inavyokera kuweka avatar tamu halafu unakutana na sura ya jiwe inaumiza sana namfeel mtoa mada hali aliyomo kwakweli
Jamani mbona unanishambulia mie jamani mtoto wa mwanamke mwenzio sina matata na MTU wala majigambo humu......me ni kuchekesha stori imekwisha loooool
 
Back
Top Bottom