- Thread starter
- #41
Asante mkuuNimependa andiko lako liko vizuri na wamekuelewa sana
Wa sukumaland
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuuNimependa andiko lako liko vizuri na wamekuelewa sana
Wa sukumaland
Jibu zuri sana hili na swali fikirishi.Kwanini usijiridhishe kwa kupima DNA? ili upate uhakika kua huyo mtoto ni wako au sio wako?
Unaposema inafaa kua na wapenzi 2 ili uje uchague mmoja anayefaa ina maana hata wanawake nao pia inafaa wawe na wapenzi wawili pia ili nao wachague mmoja anayefaa zaidi? coz hata wao wapo waliopata matatizo ya kusubiri mwanaume kisha mwanaume anaenda kuoa msichana mwingine,
Cdhani ..Seems to me umemkataa mwanao. How Sad.
You know why? Ulipeleka posa na magari na bado ulikuwa unamkula.
Alitaka harusi iwe mapema ili asitirike na aibu ya kuzaa nje ya ndoa. Sauti uliyosikia sio ya Mungu. No za devil alitaka uvuruge mambo na amefanikiwa.
Mdada amekuwa so disappointed so ameamua atalea mtoto pekee yake.
Ahaahaahaa kwamba kuna uzembe jamaa kafanyaHaukuwa na akili ilikuwaje unaenda kutoa mahari mtu ambaye mpo mbali halafu inaonekana ulikuwa hauli mzigo wewe. Watu wakakusaidia kula mzigo
Sent using Jamii Forums mobile app
Seems to me umemkataa mwanao. How Sad.
You know why? Ulipeleka posa na magari na bado ulikuwa unamkula.
Alitaka harusi iwe mapema ili asitirike na aibu ya kuzaa nje ya ndoa. Sauti uliyosikia sio ya Mungu. No za devil alitaka uvuruge mambo na amefanikiwa.
Mdada amekuwa so disappointed so ameamua atalea mtoto pekee yake.
Unajua Mkuu nilikaa mda kidogo sijaonana nae hivyo nilikuwa na uhakika sio mali yangu 100%
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti uchumba miaka kumi bila kula mzigo huwa nawashanga Sana vijana wenzangu. Walimsaidia alikuwa mzembe.mwanamke akataka amzawadie na rutitu/ nyongeza ya mtoto. Alimuona zubeAhaahaahaa kwamba kuna uzembe jamaa kafanya
From profile picture to proper future
Hakika mkuu niliamua kuacha tu na mahali niliwaachia na nilifuta namba zake sitaki mawasiliano kabisa. Wanawake ukimpata alietulia mshukuru sana Mungu maana sijui kwann ni rahisi kujivuruga. But now ngoja nifanye mchujo wa kutoshaWanawake bhana hebu muache mkuu usimchanganye ntoe ndo kawaida yenu hiyo.... Mtoa mada Amefanya vizuri kukataa kulea damu ya mtu, kila mmoja atabeba msalaba wake kuelekea Calvary....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu no need for DNA and I can't still spend my money for nothingI hate breakups man. Especially when there are kids involved.
Anyway reserve room for DNA.