Majukumu ya wakurugenzi wapewe wabunge

Majukumu ya wakurugenzi wapewe wabunge

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
4,124
Reaction score
6,141
Ukiangalia asilimia kubwa ya wabunge wetu ni tourist nikimaanisha wako kwenye comfort zone kubwa sana na fedha wanazozipigania bungeni zikija jimboni mamlaka nazo sio sawa hata kidogo

Kama nchi kuna haja gani ya kuwa na wakurugenzi mda huo huo kuna wabunge hii inapelekea wabunge wengi kutumia hii nafasi kufanya mambo yao binafsi na sio kuwatumikia wananchi

Minaona ili mbunge awe anawajibika 24/7 ni vizuri wakurugenzi wakaondolewa na nafasi zao au majukumu yao wafanye wabunge

Faida zake ni kama zifuatazo
  1. Mbunge atakuwepo bungeni mda wote sababu majukumu yote ya mkurugenzi atakuwa anayafanya yeye
  2. Ile dhana mbunge anachaguliwa sikonge, mpanda na sehemu nyingine na kuja kuishi dar haitakuwepo
  3. Mbunge atakuwa anapata experience ya kero za watu wa jimboni kwake na itakuwa ni rahis kuwatetea
Karibu uchangie
Usisahau kusupport kazi yangu.
 
Majukumu ya wabunge wapewe madiwani fatailia hiyo post niliweka humu
 
Hapana mkurugenzi habaki ila mbunge nafasi ya kitaifa sababu inaonyesha wengi wanaenda kushikilia wananchi wote wanchi ndio maana maendeleo jimboni yana shindikana.
Mkurugenzi hajachaguliwa na wananchi wa jimbo husika hana uchungu

Maendeleo yanashindikana sababu Mkurugenzi mteuliwa wa Rais wengi wamuhofia aliyewateua kuliko wananchi wa jimbo husika
 
Mkurugenzi hatakiwi kuwa mwanasiasa wala kujihusisha na siasa kazi yake kama mtumishi na kusiwe na uteuzi bali ukurugenzi utapewa kulingana utendaji ,elimu na vyeo utakavyo pata kwenye utumishi
 
Mkurugenzi anamuhofia Rais aliyemtua na mda wowote anamfuta kazi au kumuhamisha kuliko wananchi hapo hakuna kitu
 
Ukiangalia asilimia kubwa ya wabunge wetu ni tourist nikimaanisha wako kwenye comfort zone kubwa sana na fedha wanazozipigania bungeni zikija jimboni mamlaka nazo sio sawa hata kidogo

Kama nchi kuna haja gani ya kuwa na wakurugenzi mda huo huo kuna wabunge hii inapelekea wabunge wengi kutumia hii nafasi kufanya mambo yao binafsi na sio kuwatumikia wananchi

Minaona ili mbunge awe anawajibika 24/7 ni vizuri wakurugenzi wakaondolewa na nafasi zao au majukumu yao wafanye wabunge

Faida zake ni kama zifuatazo
  1. Mbunge atakuwepo bungeni mda wote sababu majukumu yote ya mkurugenzi atakuwa anayafanya yeye
  2. Ile dhana mbunge anachaguliwa sikonge, mpanda na sehemu nyingine na kuja kuishi dar haitakuwepo
  3. Mbunge atakuwa anapata experience ya kero za watu wa jimboni kwake na itakuwa ni rahis kuwatetea
Karibu uchangie
Usisahau kusupport kazi yangu.
Nafasi ya Mkurugenzi iachwe ili ateuliwe na mkuu wa mkoa anayechaguliwa na raia katika uchaguzi. Nafasi za kuondoa ni mkuu wa wilaya, DAS na RAS.
 
Ukiangalia asilimia kubwa ya wabunge wetu ni tourist nikimaanisha wako kwenye comfort zone kubwa sana na fedha wanazozipigania bungeni zikija jimboni mamlaka nazo sio sawa hata kidogo

Kama nchi kuna haja gani ya kuwa na wakurugenzi mda huo huo kuna wabunge hii inapelekea wabunge wengi kutumia hii nafasi kufanya mambo yao binafsi na sio kuwatumikia wananchi

Minaona ili mbunge awe anawajibika 24/7 ni vizuri wakurugenzi wakaondolewa na nafasi zao au majukumu yao wafanye wabunge

Faida zake ni kama zifuatazo
  1. Mbunge atakuwepo bungeni mda wote sababu majukumu yote ya mkurugenzi atakuwa anayafanya yeye
  2. Ile dhana mbunge anachaguliwa sikonge, mpanda na sehemu nyingine na kuja kuishi dar haitakuwepo
  3. Mbunge atakuwa anapata experience ya kero za watu wa jimboni kwake na itakuwa ni rahis kuwatetea
Karibu uchangie
Usisahau kusupport kazi yangu.
Kifupi utaratibu wa kuwa na wateule wa Rais ambaye pia ni mwenyekiti wa chama tawala kwenye serikali za mitaa ni kuendeleza ukoloni!

Kingine, wabunge wabanwe kufanya midahalo walahu mara 2 kila mwaka na wananchi wa Jimbo husika. Hii itasaidia kupata maoni ya wananchi kwa ajili ya mawasilisho bungeni. Utaratibu wa sasa unafanya wabunge wasiwajibike kwa wananchi!
 
Mbunge baada ya uchaguzi anaenda kufanya shughuli zake anageuka mtalii alafu kila mwisho wa mwezi anapewa mshahara na allowance na ilihali hata jimboni haishi sio fair hata kidogo
 
Back
Top Bottom