Kambi ya Fisi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,587
- 22,152
- Thread starter
- #41
Sio ajabu keshaolewa huyo 😁Mpwa utaolewa usipooa! Karibu kwenye chama!
Sio ajabu keshaolewa huyo 😁Mpwa utaolewa usipooa! Karibu kwenye chama!
SAWASoma uelewe
Anakufurahisha, anakupikia mlo safi, anabeba ujauzito wako nkHayo yote unamfanyia mwanamke halafu yeye anakufanyia nini????
Hahaha KIFO.
Ukikua utaacha utotoNDOA NI WIZI
OKOA KIBUNDA SASA
😂Kama wewe ni mwanaume kamili, huwezi kutegemea utendewe kitu in return na mwanamke zaidi ya kulelewa Watoto wako
NAKAZIAKATAA NDOA
NDOA NI VITA
NDOA NI MAPAMBANO
huu msemo amenipa mshikaji ni mwanasheria kila siku ndoa around 39 zinavunjika hapo temeke.
NDOA NI UJAMBAZIHao team kataa ndoa wengi wao wana roho ya korosho so hukataa ndoa ili wakwepe majukumu
Mungu hakuniita niwe Nabii ama Mtume hivyo nitabaki kuwa kama nilivyo kambi ya FisiNabii na Mtume Kambi ya Fisi 😁😁😁
NDOA NI UJAMBAZI
NDOA NI LAANA
NDOA NI WIZI
NDOA NI UTAPELI
KATAA NDOA
Nakuunga mkonoSikazii
Kanisani wapi mkuu ?Nakuunga mkono
😂Hahahahahahaa kibunda chenyewe Sasa, utakuta MTU account inasoma single digit hahahahaha
Hata mume amuombee mkeMKE AMUOMBEE MUME NA SIO VINGINEVYO!!
Asubuh asubuh hata hujahakikisha kama unaongea uko kuandika upuuz hapa mpe mkeo hivo ustuchanganye mpe na wa jran yako. HAKUNA KUOAHaya ni baadhi tu ya majukumu ya Mume kwa mke, majukumu hayo yanatambuliwa kabisa na Biblia hivyo si vyema kupigana na maandiko....
Kanisani ni hapa hapa na maombezi hufanyika hapa hapa, huko kwenye mahotel na kumbi za kukodi ni sifanyagi huduma huko.Kanisani wapi mkuu ?
Hakuna kuoa?As
Asubuh asubuh hata hujahakikisha kama unaongea uko kuandika upuuz hapa mpe mkeo hivo ustuchanganye mpe na wa jran yako. HAKUNA KUOA
Sawa baba mchungajiKanisani ni hapa hapa na maombezi hufanyika hapa hapa, huko kwenye mahotel na kumbi za kukodi ni sifanyagi huduma huko.