Majukumu ya mwanaume kwa mwanamke

Majukumu ya mwanaume kwa mwanamke

Ikiwa unaona tatizo lipo kwake basi na wewe pia una tatizo kwa kuoa mwanamke asiye saizi yako mwenye matatizo kibao.

Unaweza kurekebisha makosa yako kwa kuachana naye iwapo utakuwa na ushahidi kuwa huliwa na mwanaume mwingine ilhali ni mkeo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dota taratibu basi.
Haha yani bora hata Wanawake tunajijua na tumeshakubali kwamba ni kweli tuna njaa, shida iko kwao sasa kujiona wana hela kiasi cha kudhani tunataka kuolewa sababu ya hizo 'hela' zao, wakati hali halisi wanaijua ila wanajitoa ufahamu tu [emoji23][emoji23]
 
Lakini kwa upande mwingine wapo wasio na hizo tabia hivyo usijumlishe kila mwanamke ni wa kundi lililokuvuruga, mke mwema hutoka kwa BWANA
Huko kwa Bwana ni wapi? (usiniambie ni makanisani wala misikitini) kwa maana wewe mwenyewe umekiri ya kwamba makanisa ya siku hizi yamejaa utapeli tu.
 
Haha yani bora hata Wanawake tunajijua na tumeshakubali kwamba ni kweli tuna njaa, shida iko kwao sasa kujiona wana hela kiasi cha kudhani tunataka kuolewa sababu ya hizo 'hela' zao, wakati hali halisi wanaijua ila wanajitoa ufahamu tu [emoji23][emoji23]
Aaaaaah hawa wa kulalamikia hadi buku!! Wanajifurahisha tu🤣🤣🤣
 
Kumpelekea moto mwingi sijaona
Kwani hujui kuwa hilo nalo ni jukumu muhimu?

Biblia inasema mke hana amri juu ya mwili wake, vivyo hivyo na mume hana amri kwa mwili wake, so ni kuoelekeana moto tu hakuna kunyimana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom