Basi utakuwa umeolewa na huyo mwanamke.Kwa namna Gani? Biologically? Hio Haina maana sana as far as watakua wanaishi kwangu watakua Watoto wangu.
Yeye anakufanyia nini kama mumeo?Unamfanyia mkeo, sio kila mwanamke.
SAWABasi utakuwa umeolewa na huyo mwanamke.
Ana majukumu yake piaYeye anakufanyia nini kama mumeo?
Ukitaka kufa mapema basi oa na ukiona unaanza kumjua mwanamke jua umekaribia kufa.KABISA KABISA
UNANUNUA KIUMBE, UNAHUDUMIA KIUMBE, UNALEA WATOTO FEKI AMBAO SIO WAKO
NDOA NI UPUMBAVU WA KUPIGA VITA KABISA
![]()
Marriage declines in China as young Chinese choose dating, staying single
The number of marriages falls from 13.5 million couples in 2013 to 6.8 million in 2022.www.aljazeera.com
NAKAZIAKWA MWANAUME NDOA NI UKOLONI.
Yepi hayo au ndiyo kuja kukupa ugonjwa wa kupararaizi mbele ya safari?Ana majukumu yake pia
KATAA NDOANAKAZIA
NA KUNA WAJINGA BADO WANAPIGWA
SikaziiNDOA NI LAANA
NDOA NI UTAPELI
KATAA NDOA
Hata hao watoto hawawalei siku hizi...Kama wewe ni mwanaume kamili, huwezi kutegemea utendewe kitu in return na mwanamke zaidi ya kulelewa Watoto wako
na watoto watakusaidia nini?Kama wewe ni mwanaume kamili, huwezi kutegemea utendewe kitu in return na mwanamke zaidi ya kulelewa Watoto wako
nakaziaSikazii
Nadhani hapa nachati na teenagers!na watoto watakusaidia nini?
Unataka ulelewe na Watoto?Hata hao watoto hawawalei siku hizi...
Mie huwa natoa huduma hapa hapa JF so kanisa langu lipo hapa hapa, hizo kanisa za kukusanyika kwenye majengo huwa ni misheni za kujipatia fedha haramu, kutapeli waumini na kukwepa kodi, mie sifanyagi huo uhuniKanisa lako liko sehemu gani mtumishi?
Huo usawa ulianzia pale maadili yalipoporomoka,ni pale mwanamke alipojaribu kubeba majukumu ya mwanaume, ni pale pale pia mwanaume alipojiingiza kubeba majukumu ya mwanamke yaani jamaa hana uke lakini anatamani kuwa mwanamke, na mwanamke hana uume ila anatamani kugegeda mwanamke mwenzie.Swali kwako mtumishi : Hivi huu usawa wa kijinsia unaopiganiwa usiku na mchana unaanzia wapi na kuishia wapi?
Mungu alimaliza yote katika uumbaji kwa kusema vyote ni vyema hakukuwa na kasoro ktk uumbaji, hivyo aligawa majukumu kwa wote.Haugusi baadhi ya haya majukumu ya mwanaume?
Hiyo username haina tatizo mpendwa, kambi ya fisi ni mtaa wangu pendwa pale chuga na nimeuenzi kwa kutumia username.Ila hapo kwenye username yake Sasa!
Hao team kataa ndoa wengi wao wana roho ya korosho so hukataa ndoa ili wakwepe majukumuVijana waoe wasikwepe majukumu aiseeee
Ikiwa ndoa ni laana ilikuwaje baba yako akaoa kisha ukazaliwa wewe, ina maana hata wewe ni mwana haramu?NDOA NI LAANA
NDOA NI UTAPELI
KATAA NDOA
Unataka ulelewe na Watoto?