Majukumu ya mh. Lukuvi

Majukumu ya mh. Lukuvi

kingfish

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
571
Reaction score
159
Wana JF ninaomba mnijuze majukumu ya waziri Lukuvi siyafahamu. Mara nyingi namwona ni mtu wa kuomba mwongozo na kutoa taarifa bungeni. Wadhifa huo una tija yoyote kwa maendeleo ya nchi?
 
Darasa la saba at work, Tunasema siku zote elimu ni ufunguo wa maisha, lakini yeye ana maisha ila elimu imekuwa shida!
 
He is a great thinker ndani ya baraza la mawaziri......
 
Wana JF ninaomba mnijuze majukumu ya mh.Lukuvi,mara nyingi namwona ni mtu wa kuomba mwongozo,kutoa taarifa na kutetea viongozi wabovu serikalini, kwa mfano mwaka jana aliomba mwongozo kupinga ya hoja ya mh. Zitto Kabwe kufuatia maamuzi ya aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi kumrejesha Jairo kazini na juzi amemtetea sana Mkulo kwa kutokuwepo katika kikao cha Bunge.

Je,wadhifa huu una tija kwa maendeleo ya nchi hii?
 
jukumu lake la kwanza ni ubishi kwa hoja yoyote ya wapinzani

jukumu la pili ni kutetea magamba hata ikibidi afe

jukumu la tatu ni kulilnda ajira yake kwani hana elimu stahili ya kuwa pale
 
Yeah, anateea kwa kuwa hana weredi! wenzie walio enda shule wana aibu! Yeye na darasa la saba lake haoni aibu anaona sifa!
 
Darasa la saba at work, Tunasema siku zote elimu ni ufunguo wa maisha, lakini yeye ana maisha ila elimu imekuwa shida!
Acha ubaguzi wako huo wa kijinga. Yeye ameuliza kwa sababu hajui lakini wewe unaanza kashfa.
Haya wewe mwenye Phd mbona umeshindwa kujibu swali la darasa la saba? Acha ushamba mkuu kwani elimu yako imekuwa ni kuwadharau wengine. Hapa ni kuelimishana. Huu ni ushamba sana.
 
Acha ubaguzi wako huo wa kijinga. Yeye ameuliza kwa sababu hajui lakini wewe unaanza kashfa.
Haya wewe mwenye Phd mbona umeshindwa kujibu swali la darasa la saba? Acha ushamba mkuu kwani elimu yako imekuwa ni kuwadharau wengine. Hapa ni kuelimishana. Huu ni ushamba sana.

naomba kuwa wakili
uyu kamaanisha lukuvi ndo darasa la saba siyo muuliza swali
 
Wana JF ninaomba mnijuze majukumu ya waziri Lukuvi siyafahamu.Mara nyingi namwona ni mtu wa kuomba mwongozo na kutoa taarifa bungeni.Wadhifa huo una tija yoyote kwa maendeleo ya nchi?

Moja ya majukumu yake ninayoyajua mimi ni kwenda kwa Gwajima kumuomba amuombee raisi asivamiwe na mapepo
 
Ninaimani hata kwenye wabunge wa CCM, wapo waliokuwa na upeo mkubwa wa kuweza kutumikia vizuri nafasi aliyonayo Mh.Lukuvi. Ila inaonekana amepewa nafasi ile ili atete mambo ya ajabuajabu kama tulivyokwishazoea kumuona. Huu ndiyo ubaya wa serikali ya kishakji......
 
Mara nyingi huyu lukuvi anapenda aonekane mtu safi na mtu anayewajali watu lakini mwisho wa siku lukuvi huyu huyu anaficha ukweli na anapenda kuwapa wenzake kesi za uongo hana mana bora pinda ajiuzulu auokose huo uheshimiwa feki
 
Cheo chake kinamruhusu kuwa kiherehere bungeni.
 
Alipambana na lema wakati anawasilisha ho2ba mambo ya ndani KIVULI,lema akamtoa nishai akamtaka lukuvi aende akauchukue anaoita uchochezi ktk hansard.PIA KIBOKO YA LUKUVI NI HON.REV.Peter msigwa
 
Mnadhimu wa serikali bungeni, naomba msaada kwy tuta kuwa anakuwa na shughuli zipi na zinatofautiana. Na waziri mkuu?
 
Back
Top Bottom