Majukumu ya familia yamekuwa makubwa kuliko kipato chake, mpe ushauri

Kama unaona wewe mzazi hukufanikiwa kwenye maisha yako mpaka uko kwenye 60 -80s huko...muache mwanao naye atumie mbinu zake kutimiza ndoto zake....jukumu lako limeishia kwenye kumlea na kumsomesha...
 
Mwambie aache upumbavu,kuna watu Wana shida mara ya hizo na still wapo happy.Kuzaliwa masikini hamkufanyi mtu kuwa masikini.
Kuna jamaa hapa tulikuw tumepata sehm y majaribio ya kazi ya usafi hospitalini. Huyu jama anatembea nearly 5 km kutok kwake kuja kituoni na ana mke na watoto wawili, wamepanga chumba kimoja na mshkaj han kazi maalum. Kwa sabb mm n meneja w hik kikampun tunajuan akatka amkatili jamaa anipe job mm, nami nkamsisitiz tu kwamb mm nataft hela ya kuhonga sbb kula si tatizo. Nkashaur ampe kaz jamaa manke kwake kunateketea kabisaaaa...
NB :ukiona una mshahar haitoshi, ujuE Kuna mwingine angepat mshahra huo angefanya makubwa.
 
alikuwa, anashinda BAA. Afu utwambie hana hela!
Akiwa anafanya kazi ni kweli ilikuwa baa na yeye hatimaye akaukwaa,sasa hivi hali yake kiafya ni mbaya ,na anahitaji matibabu na anambana kijana wake umhudumie na apate matibabu ,afanyeje na hala kipato
 
Mkuu wewe ndiye kilongalonga chake?

Kwanini asielezee hizo dhiki zake yeye mwenyewe?

Unajua, kuelezea shida za mtu mwingine, kuna maneno unayaongeza na mengine kuyapunguza kwa kuyasahau bila wewe kujua na kupunguza thamani ama uzito wa jambo lenyewe!

Hapo mi naona yote uliyoelezea hapo ni changamoto za kawaida katika jamii kubwa ya maisha ya WaTz walio wengi.

Kuna watu wanaishi kwa shida sana kuliko hata huyo jamaa yako.

Ulishawaza hata siku1 waweza kukosa pa kushika, yaani huna pesa, huna makazi, kazi umefukuzwa na kujikuta hauna chochote kabisa hadi unalala stendi kama msafiri?

Kuna watu wanaishi maisha ya namna hiyo sasa, je hao tuwaweke fungu gani?

Kama watu wenye makazi yao kisa kuuguliwa tuanze kuchangishana mawazo cha kufanya kweli!

Kuweni serious basi wajameni!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtumishi wa Tamisemi halafu mzazi hna bma ya NHIF??????
 
Akiwa anafanya kazi ni kweli ilikuwa baa na yeye hatimaye akaukwaa,sasa hivi hali yake kiafya ni mbaya ,na anahitaji matibabu na anambana kijana wake umhudumie na apate matibabu ,afanyeje na hala kipato
Naiman Mungu ananjia nyingi zakumfanya mtu amkumbuke. Hivyo basi acha aendelee kumkumbuka bwashee
 
Wazazi wanapinga asijenge wanataka awajengee kwanza waoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.......IPO HAJA YA KUWAULIZA WAZAZI WETU YALE WANAYOYATAKA TUWAFANYIE JE NA WAO WALIWAFANYIA WAZAZI WAO???
 
That's life jikaze tu itafika wakati matatizo yataisha yenyewe automatically lakini ukisema upambane kuyamaliza ndivyo unazidi kuyakaribisha matatizo mengine na hali itazidi kuwa ngumu.
 
Namshauri kama kipato chake kidogo atumie uzazi wa mpango,maana ana watoto 3 na sasa mkewe ana mimba anakaribia kujifungua.
Akishindwa kabisa awe anavaa kondomu kupunguza kumzalisha mkewe huku kipato chake ni kiduchu.
 
Acha kutumia nafsi ya tatu sema ni wewe! Haupo mwenyewe hata Mimi hali mbaya aisee !!! Halafu waifu anafosi mtoto aende English medium ada 2000,000/ kwa mwaka !!/ nimepiga biti hatuongei ni salam tuuu dahhhhh acha kabisa
 
Hapo bado watoto wake hawajazaa wakiwa shule ya msingi kama mnavyotaka.

La kusema apambane tu, kila jaribu lina mlango wa kutokea.
 
Mwambie ajinyonge tu ili atupunguzie idadi,maana kama matatizo kila mtu ana yake asee na wengine hatujafikiria hata kujinyonga.
 
Khaaaaa na wewe huu ndo ushauri gani huu
 
Ajenge nyumba yake, ikiwezekana aipangishe ili impunguzie ugumu wa maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…