Mimi nikisha muona msichana ana mwanaume mwingine kitu cha kwamza hua ninafuta contact zake
Wanawake mbona mpo hivyo?
Kwa hiyo wewe mwanaume anayekufukuzia akikuona na mwanaume mwingine mmeshikana mikono unataka apate tafsiri kuwa wewe ni mala.ya mzoefu???
Alikuwa anataka akuambie kuwa umemuona mtu wake? so usiendelee kumfuatilia we mpigie usikie anakuambiaje
Pigania unachokipenda kijana anzisha ligi na huyo alonae.
Mimi nikisha muona msichana ana mwanaume mwingine kitu cha kwamza hua ninafuta contact zake
Wanawake mbona mpo hivyo?
Kwa hiyo wewe mwanaume anayekufukuzia akikuona na mwanaume mwingine mmeshikana mikono unataka apate tafsiri kuwa wewe ni mala.ya mzoefu???
hata kama ni kaka/shemeji ake we ni kufuta namba tu
Ndo maana yake,mwanamke akikukatalia then ukamuona ameongozana na mpenzi wake madoido huongezeka ili kukuthibitishia kuwa yuko under monopolyumeonae!!!!!!!!!!!!
hata kama ni kaka/shemeji ake we ni kufuta namba tu
kivipi mkuu? Mi kweli sijakuelewa au kichwa changu kigumu nini?
una wivu mkali angalia ucjege kujipiga bastola siku ukimkuta mama watoto na kidumeee!! ukaji-delete kabsaaaaMimi nikisha muona msichana ana mwanaume mwingine kitu cha kwamza hua ninafuta contact zake