Pole sana kwa kuondokewa na rafiki yako mpendwa
dah! R.I.P .......... cku nyingine asichepuke.
Pole sana................
Mapenzi haya
dah! R.I.P .......... cku nyingine asichepuke.
mhhh hasira mbaya sana pole kwa kufiliwa na rafiki yako!
Pole sana kwa kuondokewa na rafiki yako mpendwa
inauma sana mkuu basi tu cjui nisemeje mimi?
R.i.P king'asti" kwa hiyo mwili wake unarejeshwa bongo lini mkuu?
asante najipanga sasa kuhudhuria mazishi inaniuma sana coz alikua rafiki yangu mkubwa na ilikua afike kuniona mwezi wa sita
sema lolote tu we sema............
ila mke wa rafiki yako alimuua tu mumewe mchepuko yuko salama!!!!!!!
Pumzika kwa amani rafiki yangu Ndlamin Paul (RIP)
nimepata msiba wa rafiki yangu huyu ambaye nilipata kuishi nae Nchini Afrika Kusini kwa miaka miwili na mwaka 2010 nilipata kuhudhuria harusi yake nchini Botswana lkn mke wake ameamua kumuua kwa kumpiga risasi huku taarifa za awali zikisema kisa ni baada ya kumfumania rafiki yangu huyu
tangulia kaka iko siku nami nitakufuata, inaniuma sana basi tu .