Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,235
- 13,539
lfc WAUNGWANA SANA, ATAKUJA NA BUSARA ZA HALI YA JUU
Wamtetea wamjua LiverpoolFC wewe Amavubi? Ataua mtu hapa.
Last edited by a moderator:
lfc WAUNGWANA SANA, ATAKUJA NA BUSARA ZA HALI YA JUU
View attachment 73472
Nilijua tu wengi mtafungua kwa UDENDA, hii ni kwa wadau wa LIVER-FOOL tu!!!!!!!!!!
ndivy watamo wanavyotuita siku hizi, lazima ukubali yaishenaomba tuheshimiane, heshima ni kitu cha bure, unatuita ss liver fool au nyie ndio ndio mlioendelea kupita vilabu vyote duniani mpaka mna manchester united refaree academy
yataka moyo ndio football hiyo......sometimes is like ypur mother, sometimes like your STEP MOTHERHa ha ha haaaaaaaaaaaaaaaa!!Watu wanamadongo aisee duh! Afadhali yetu sisi Chelsea hatufugi kima tunafukuza kocha dakika yeyote akileta uzembe, wacha mtucheke tu kwa hilo lakini lengo letu ni mafanikio.
NDIO MDO nini wa huu UZIWamtetea wamjua LiverpoolFC wewe Amavubi? Ataua mtu hapa.