Mkulima wa Kuku
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 1,270
- 533
Vp naweza pata majoo ambayo ni kishingo?
Nitahitaji wawili rangi tofauti, mapema wweek ijayo nitakupigia kwa maelekezo
Nashukuru mkuu, nimevutiwa zaidi na maelezo yako hapo juu, je ? Matetea wa kuku hawa wanaatamia kama wale wa kienyeji ama nitahitaji kuwa na incubator?
Mimi nipo Iringa Nahitaji Jogoo mmoja kwaajili ya mbegu!
Tunaweza fanya biashara?
ukihitaji kwa ajili ya mbegu (kufuga) au kwa ajili ya kitoweo hasa kwa kipindi hichi cha sikukuu. Wana miezi 5 tu lakini ni wakubwa. Anayefahamu majogoo hayo anaweza kujua kitu nasema. Bei ni shs. 20,000/= kwa jogoo. Unaweza ukanieleza kama unahitaji. Karibuni. Pichani utaona kuna majogoo wa miezi 5 na wadogo weupe wa miezi 2
Unaweza kupiga 0762413132mkuu naitaji sijaona namba zako unapatikanaje
Namna ya kumsafirisha jogoo mmoja na Gharama zake zitakuwa kubwa mno. Nikupe shauri kama waweza tafuta mtu mmoja nimesikia ana kuku kama wa kwangu mwenye namna 0785636981.sifahamu anaitwa nani ila nimepata hakika kuwa ana kuku kama hawa.
Nnayo ila siuzi. Nimepata mbegu hiyo mwaka huu tu na hii ni batch ya kwanza hivyo nikiuza matetea ni sawa na kula mbegu -labda vifaranga watakapochanganya utagaji...endelea kufuatilia