Majogoo Makubwa mazuri ya Kenbro yanapatikana Dar

Mkulima wa Kuku

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
1,271
2,000
Ukihitaji kwa ajili ya mbegu (kufuga) au kwa ajili ya kitoweo hasa kwa kipindi hichi cha sikukuu. Wana miezi 5 tu lakini ni wakubwa. Anayefahamu majogoo hayo anaweza kujua kitu nasema. Bei ni shs. 20,000/= kwa jogoo. Unaweza ukanieleza kama unahitaji. Karibuni. Pichani utaona kuna majogoo wa miezi 5 na wadogo weupe wa miezi 2
 
Attachments

 • 1.jpg
  File size
  122.9 KB
  Views
  522
 • 2.jpg
  File size
  124.9 KB
  Views
  504
 • 5.jpg
  File size
  113.9 KB
  Views
  452
 • 6.jpg
  File size
  132.7 KB
  Views
  447
 • 4.jpg
  File size
  114.6 KB
  Views
  471

Mkulima wa Kuku

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
1,271
2,000
Nnayo ila siuzi. Nimepata mbegu hiyo mwaka huu tu na hii ni batch ya kwanza hivyo nikiuza matetea ni sawa na kula mbegu -labda vifaranga watakapochanganya utagaji...endelea kufuatilia
 
Mkulima wa Kuku

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
1,271
2,000
Kuna uwezekano wakakua ila speed yao ya ukuaji itakuwa ni ndogo. Ifahamike hawa ni kuku wa kienyeji (improved breed). Tunawapa chakula kizuri ili kupata matokeo mazuri zaidi. Ukiangalia hata kuku wale wa asili kabisa wanataga mayai machache sababu ya chakula na kazi nyingi wazifanyazo. Wanahangaika weeee kiaisi kwamba nguvu kubwa ya utengenezaji wa mayai inatumika kwenye utafutaji wa chakula. Hii haina maana kuwa improved breed inaweza kutaga kama wale 'special layers' idadi ya mayai inapungua kwa wiki 3-5 kwa wiki kwa kuku. Wakati wale wa mayai wanakupa 5-7 kwa wiki.
 
Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
6,763
1,500
Nashukuru mkuu, nimevutiwa zaidi na maelezo yako hapo juu, je ? Matetea wa kuku hawa wanaatamia kama wale wa kienyeji ama nitahitaji kuwa na incubator?
 
Mkulima wa Kuku

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
1,271
2,000
Nashukuru mkuu, nimevutiwa zaidi na maelezo yako hapo juu, je ? Matetea wa kuku hawa wanaatamia kama wale wa kienyeji ama nitahitaji kuwa na incubator?

Nisamehe nimekuwa ibadani kwenye mazishi. Hawa ni kuku wa kienyeji wenye uwezo wa kuatamia. Kitu nnachofanya mimi siwapi hawa kuku fursa ya kuatamia ili wanitagie mayai. Huwanyang'anya mayai na kuya-incubate ili kuku waendelee kutaga
 
MicJay

Member
Apr 19, 2014
75
125
Mimi nipo Iringa Nahitaji Jogoo mmoja kwaajili ya mbegu!
Tunaweza fanya biashara?
 
Mkulima wa Kuku

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
1,271
2,000
Mimi nipo Iringa Nahitaji Jogoo mmoja kwaajili ya mbegu!
Tunaweza fanya biashara?

Namna ya kumsafirisha jogoo mmoja na Gharama zake zitakuwa kubwa mno. Nikupe shauri kama waweza tafuta mtu mmoja nimesikia ana kuku kama wa kwangu mwenye namna 0785636981.sifahamu anaitwa nani ila nimepata hakika kuwa ana kuku kama hawa.
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,127
2,000
ukihitaji kwa ajili ya mbegu (kufuga) au kwa ajili ya kitoweo hasa kwa kipindi hichi cha sikukuu. Wana miezi 5 tu lakini ni wakubwa. Anayefahamu majogoo hayo anaweza kujua kitu nasema. Bei ni shs. 20,000/= kwa jogoo. Unaweza ukanieleza kama unahitaji. Karibuni. Pichani utaona kuna majogoo wa miezi 5 na wadogo weupe wa miezi 2

mkuu naitaji sijaona namba zako unapatikanaje
 
Mkulima wa Kuku

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
1,271
2,000
Namna ya kumsafirisha jogoo mmoja na Gharama zake zitakuwa kubwa mno. Nikupe shauri kama waweza tafuta mtu mmoja nimesikia ana kuku kama wa kwangu mwenye namna 0785636981.sifahamu anaitwa nani ila nimepata hakika kuwa ana kuku kama hawa.

Mkubwa wangu naomba unitaarifu ukimpata huyo mkuu wa Iringa
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,127
2,000
Nnayo ila siuzi. Nimepata mbegu hiyo mwaka huu tu na hii ni batch ya kwanza hivyo nikiuza matetea ni sawa na kula mbegu -labda vifaranga watakapochanganya utagaji...endelea kufuatilia

hahaaa sawa na kula tezi kw kwi kwi

hujui ladha ya tezi tamu hasa za mbuzi mpwa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom