Majizzo Ndani ya Clouds360 on Clouds Tv February 20

Huyo ana UKIMWI uliosababishwa na HIV. Ni kawaida sana ukitumia ARV kwa muda mrefu huwa zinasababisha kugaribika kwa organs. Ndo maana figo zimefeli. Pia inawezekana pamoja na kutumia ARV bado alikuwa anafanya ngono zisizo salama na wanawake tofauti tofauti,hivyo alikuwa anapata re infections.
duh!! anajiova dozi vimelea.....
 
Ndio hicho ambacho mimi nimekiona watu wameamua kumgeuza fursa ...dahh mbaya Sana hii ...nadhani wameshahisi kuwa jamaa hatoweza ku survive ...kama ataweza ku survive kweli then anakuja kukuta Kwamba walimdhalilisha kwa kum changia michango ...aise sijui atakuwa na hali gani kifikira

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wamemgeuza fursa muosha uoshwa ila nimewaza tu ile slogan ya kamatia fursa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duhh! Anatumia milioni tano kila kukicha kwa ajili ya matibabu. Tumuombee kwa Muumba ili avuke kipindi hiki kigumu katika maisha yake, manake hata Dimpoz alifanikiwa.
Ila huyu jamaa nina wasiwasi na ugonjwa wake, kama sio TANESCO basi atakuwa amepewa sumu
Nimefikiria mara kadhaa hilo neno "Tanesco" nimekuja gundua ni umeme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ruge kama anahitaji figo anifate pm tuyajenge.
Anahangaika wakati wauzaji wapo kibao kitaa huku. Atangaze offer watu tusaini kandarasi.
 
Shikamoo on my dimpoz. Nina amini na yeye matibabu yake yalim cost millions. Huyo aliemsaidia amshukuru. Ujerumani matibabu ni bei. Wengi wa Tanzania hukimbilia india au south africa
 
Back
Top Bottom