Majizo umemsikia Rais Samia?

Wacha hizo. Kumkosoa mtu ni zawa lakini usitumie redio ya mwenziyo tafuta yako. Kama angeenda kwenye Clubhouse ya madiaspora wa tindulissu wala asingesakamwa, badala yake angepewa airticket aende Cincinatti Ohio kuonana na International al democratic Union ya tundulissu.
 
Ngada FC
 
Majizo ni chawa wa JK
Hivi mzee Kikwete anatafuta hao mnawaita chawa ili afanikiwe lengo lipi? Maana ni mzee wetu mstaafu, mpenda nchi yake na mwenye kilimo chake cha mahindi ya Yanga (njano)...#Tumwache mzee apumzike. Ni ombi tu.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Kuna watu wana power kuliko huyo nani....
 
MAJIZZO Boss wa E-FM nadhani umemsikia Rais Samia kuhusu kuruhusu watu kumkosoa, sasa uamuzi wako wa kumchukulia hatua Gerald Hando kama itakupendeza utengue kama sehemu ya kuunga mkono uamuzi wa Rais wa kujikosoa na kukosoana.
Kamwe hawezi kwasababu
  1. Alishasifiwa na yule mzee wa fitna wa Msoga cc chawa wa Bumbuli
  2. Alishakula ng'ombe wa mkesha wa mwaka mpya hawezi kusaliti mwaliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…